Lyrics 10.Rrrrrrrrrr - Jua Cali
Me
nakuambia
umebarikiwa
si
mchezo
RRRRR
Kila
kitu
iko
sawa
kutoka
mguu
mpaka
meno
RRRR
Nitafanya
juu
chini
nisikuumize
RRRR
Roho
yako
hiyo
safi
niilinde
RRRR
Lazima
dunia
mzima
ijue
we
ni
wangu
RRRR
Na
hivi
karibuni
unakuja
kuishi
kwangu
RRRR
Nikuchunge
daily
vile
inafaa
Sababu
jo
we
ni
manzi
wa
maana
RRRR
Na
ni
muhimu
ujue
unapendwa
sana
RRRR
Tena
sana
na
ni
zaidi
ya
jana
RRRR
Ama
juzi
vile
utataka
RRRR
We
si
baiby
tena
we
ni
mama
RRRR
Sai
wanaongea
mbaya
lakini
me
Siwasikizi
Umenikoroga
ata
siskii
wanasema
nini
RRRR
Niambie
kitu
yoyote
me
nitafanya
RRRR
Niambie
mahali
popote
me
nitahama
RRRR
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Hakuna
Mwengine
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
Nakupenda
Hakuna
mwengine
Nachanganyikiwa
kila
saa
nikikuona
RRRRR
Mtu
wangu
we
ni
addictive
kama
soccer
RRRRR
Premier
legue
we
ni
number
moja
RRRRR
Hawa
wengine
itabidi
wamengoja
RRRRR
Chini
chini
wanajaribu
kunyemelea
Chini
chini
Wanajaribu
kunihemea
Lakini
niko
focused
mbaya
sana
RRRRRR
Hakuna
kitu
inaweza
nitoa
hapa
RRRRR
Ni
wewe
na
mimi,
mimi
na
wewe
RRRRR
Na
itakuwa
hivyo
wapende
wasipende
RRRRR
Kazi
yao
ni
kutuangalia
tu
Na
roho
ngumu
zikona
machungu
RRRRR
Me
nakaa
hapa
tu
nikicheka
Hawatambui
vile
roho
yangu
umeiweza
RRRRR
Na
ni
miaka
mingi
itabaki
hivyo
Na
nitakuwa
na
wewe
mpaka
mwisho
RRRRR
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Hakuna
Mwengine
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Mimi
Me
nakupenda
Hakuna
mwengine
Usijitishe
na
kitu
yoyote
RRRRR
Usitishwe
na
mtu
wowote
RRRRR
Nangos
ikipigwa
we
jua
ni
biashara
Ya
kujenga
maisha
yetu
ya
baadaye
ikue
sawa
RRRRR
Unajua
kunituliza
ka
nimechoka
RRRRR
Jioni
hausahau
kuniwekea
maji
ya
kuoga
RRRRR
Nikiingia
kejani
uninivua
viatu
RRRRR
Unimassage
kiasi
RRRRR
mpaka
ma
saa
tatu
RRRRR
Halafu
unaandaa
chakula
tamu
kwa
meza
RRRRR
Kwanza
kuku
ya
jana
iliweza
RRRRR
Ona
vile
boy
wako
amenawiri
Maisha
ya
Ubachelor
staki
si
siri
Unapiga
magoti
unaniambia
asante
RRRRR
Napiga
magoti
nakupiga
mate
RRRRR
Nakuangalia
kwa
macho
nakuambia
nakupenda
RRRRR
Hakuna
mtoto
mwengine
ka
wewe
Miss
Kenya
RRRRR
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Hakuna
Mwengine
Mimi
me
nakupenda
Mimi
me
Nakupenda
Mimi
me
nakupenda
Hakuna
mwengine
Attention! Feel free to leave feedback.