Lyrics 4.Vile Naskia (feat. Wyre) - Jua Cali
Vile
nahisi
nikimwona,
najua
nina
mali
Wakituona
wauliza
mbona,
mbona
hatukosani?
Nishampata,
mpata,
mpata
yule
Ashanipata,
nipata,
nipata
mie
Nimekuwa
naget
feeling
flani
noma
Nimekuwa
naskia
roho
yangu
ikigonga
Nikikuona
naskia
fiti
Tukiongea
jo
siamini
Uliamua
aje
kunikubali
Mtoto
wa
kibabe
na
me
mtu
wa
mtaani
Kiswahili
ngumu
lakini
tunaelewana
Kizungu
ngumu
lakini
tunaskizana
Pole
pole
tunazidi
kupendana
Vita
kwa
wingi
na
bado
tunasameheana
Nani
angefikiria
ingekua
hivi
Baada
ya
miaka
saba
na
bado
uko
na
mimi
Wacha
waongee
watanyamaza
Wacha
wabonge
watalala
Mi
nakuambia
hawajui
vile
we
unaskia
Na
hawajui
vile
mi
naskia
Vile
nahisi
nikimwona,
najua
nina
mali
Wakituona
wauliza
mbona,
mbona
hatukosani?
Nishampata,
mpata,
mpata
yule
Ashanipata,
nipata,
nipata
mie
Ukiumwa
na
kichwa
mi
ndio
dawa
Tuliza
usibebe
vitu
mzito
sana
Leo
siku
yako
wacha
ikubambe
Wacha
kila
kitu
isimame
Simu
inalia
ambia
boy
atulie
Alisharushwa
atafute
mwengine
Leo
napitia
Mathako
tumsalimie
Mbuyu
baadaye
tumskizie
Usisahau
kuvaa
zile
viatu
noma
Usisahau
nitaku-massage
ukichoka
Usisahau
huku
nje
kuna
manyoka
Na
usisahau
wakitusumbua
tunawatoka
Wacha
waongee
watanyamaza
Wacha
wabonge
watalala
Mi
nakuambia
hawajui
vile
we
unaskia
Na
hawajui
vile
mi
naskia
Vile
nahisi
nikimwona,
najua
nina
mali
Wakituona
wauliza
mbona,
mbona
hatukosani?
Nishampata,
mpata,
mpata
yule
Ashanipata,
nipata,
nipata
mie
Shida
zikikutafash
we
niambie
Hata
ka
ni
noma
aje
usinyamazie
Ukifunga
mdomo
utashiba
aje
Ukifunga
maskio
utaskia
aje
Naona
tuanze
kuishi
pamoja
Na
watoi
ka
fifteen
wakikimbia
kwa
boma
Lakini
kabla
hiyo
pete
kwa
mkono
Halafu
nakupanguza
machozi
na
mkono
We
endelea
kulia
ukitaka
We
endelea
kunishikilia
ukitaka
We
endelea
usione
haya
Na
we
endelea
hata
ka
wanatuangalia
sana
Wacha
waonge
watanyamaza
Wacha
wabonge
watalala
Mi
nakuambia
hawajui
vile
we
unaskia
Na
hawajui
vile
mi
naskia
Vile
nahisi
nikimwona,
najua
nina
mali
Wakituona
wauliza
mbona,
mbona
hatukosani?
Nishampata,
mpata,
mpata
yule
Ashanipata,
nipata,
nipata
mie
Yule...
Attention! Feel free to leave feedback.