Lyrics Si Kupenda Kwangu - Jua Cali
Jamaa
Maisha
ngumu
Kila
mtu
bana
iko
na
blunder
zake
au
sio
Lakini
ni
lazima
bana
tujaribu
kuishi
pamoja
Kulala
mapema
na
kuamka
kesho
yake
saa
sita
(si
kupenda
kwangu)
Na
nikiamka
naenda
shughuli
uso
sijasafisha
(si
kupenda
kwangu)
Ile
deni
yako
nilikaa
nayo
mpaka
ukaniachia
(si
kupenda
kwangu)
Lakini
zile
viatu
zangu
sikuwachii
nazikujia
(si
kupenda
kwangu)
Unataka
kuhama
huku
nikikuambia
wee
tulia
(si
kupenda
kwangu)
Kumbe
nimechanisha
bill
ya
stima
unanilipia
(si
kupenda
kwangu)
Mitungi
nazo
zimejaa
kwa
keja
hakuna
mahali
ya
kusimamia
(si
kupenda
kwangu)
Msishangae
jamaa
ndio
hizo
hizo
mtakalia
(si
kupenda
kwangu)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(kuna
wadhii
kwa
nyumba)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(hakuna
stima)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(maisha
ngumu)
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda,
si-si
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(eeh)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(au
sio)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda
Si
kupenda
kwangu
Ka
nili-perform
show
ya
Game
na
nyinyi
mkakauka
(si
kupenda
kwangu)
Genge
napanda
na
zenyu
zinashuka
(si
kupenda
kwangu)
Ka
nilipakua
nyama
zote
na
nyi
mkakosa
(si
kupenda
kwangu)
Nikawacha
mkipigania
mifupa
na
mboga
(si
kupenda
kwangu)
Ulitoka
ngumi
yangu
ya
kushoto
ukakutana
na
ya
kulia
(si
kupenda
kwangu)
Uliingiliwa
kwa
nyumba
na
sikuja
kukusaidia
(si
kupenda
kwangu)
Siku
hizi
wanasiasa
wote
mi
husinzia
(si
kupenda
kwangu)
Kelele
tu
2012
hakuna
kura
nawapigia
(si
kupenda
kwangu)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(unaskia)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(eeh)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda,
si-si
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(au
sio)
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
(genge)
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda,
si-si
Si
kupenda
kwangu
Niko
wali
kwa
sana
siku
hizi
nimepunguza
sima
(si
kupenda
kwangu)
Natengeneza
mwili
huku
nikiharibu
jina
(si
kupenda
kwangu)
Kujipiga
marashi
hata
kabla
sijaoga
(si
kupenda
kwangu)
Kukudanganya
kesho
nipitie
halafu
nakutoka
(si
kupenda
kwangu)
Kukuja
kwako
daily
kukuomba
chumvi
(si
kupenda
kwangu)
Ama
kuku-hustle
kila
siku
niachie
hata
kakumi
(si
kupenda
kwangu)
Wee
kufanya
kitu
ya
maana
na
bado
nakusomea
(si
kupenda
kwangu)
Wee
fanya
bidii
wacha
kusema
unaonewa
(si
kupenda
kwangu)
Tuna-hustle
jamaa
au
sio
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda,
si-si
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda
kwangu
ni
hali
ya
maisha
Si
kupenda,
si
kupenda,
si
kupenda,
si-si
Si
kupenda
kwangu...
1 Si Kupenda Kwangu
2 Tunaona Mbali
3 Interlude 1
4 Nakufuata
5 Interlude 2
6 Baba Yao
7 Interlude 3
8 Interlude 4
9 Kuna Sheng
10 Si Siri
11 Kuna Sheng - Remix
Attention! Feel free to leave feedback.