K2ga - Unaniona Lyrics

Lyrics Unaniona - K2ga



Nilipata tabu,kupata penzi lako
Kukubandua ulisita moyo wako
Benki ya moyo funguo ipo kwako
Mimi mazima siwezi toka kwako
Jamani moyo wangu usijezima
Kulalamika ka kilema
Kunipa penzi lako hata huruma huna
Unanitesa sana
Jamani moyo wangu usijezima
Kulalamika ka kilema
Kunipa penzi lako hata huruma huna
Unanitesa sana
Kitochi,kibuti,kumwagwa,kutoswa,kutemwa
Inauma sana
Na kitochi, kibuti,kumwagwa,kutoswa,kutemwa
Sasa hivi unaniona,thamani me sina
Avonisema,sina maana tena
Sasahivi unaniona,thamani me sina
Unavonisema,sina maana tena
Wasiwasi wa moyo nilonao,moyo wako bdo hujaona
Kua na wew bado naona,Uzito wa penzi lako mzani unagoma
Basi nipe sikio mimi Leo,nisikie niyasemayo
Usinipeleke mbio sana,kama hunitaki wewe sema
Mana hata raha sina,sina,sina pakupapasa sina
Sina pakushika sina,sina pakuhemea sina
Kitochi,kibuti,kutoswa,kumwagwa,kutemwa,inauma sana×2
Sasahivi unaniona,thamani me sina
Unavonisema sina maana tena ×2



Writer(s): Karim Rashidi Tuga


K2ga - Unaniona - Single
Album Unaniona - Single
date of release
06-01-2020




Attention! Feel free to leave feedback.