Karen - Lawama Lyrics

Lyrics Lawama - Karen



Penzi unalionea waizunguka njia
Ukuta nilioegemea leo wanichafua
Hata ujiteteaje story zako mi napewa
Wewe unanionaje kunivuruga kila mara
Kwani sisi tupo wangapi ama mm mshika shati
Na chakula hakiliki baba wewe
Kila siku kesi kesi kwan sisi tupo wangapi ama mimi mshika shati
Na chakula hakiliki kila siku kesi kesi
Nimechoka mwenzio
(Lawama) oh oh (lawama) sina swaga yeyote (lawama) na wewe
(Lawama) ujuzi wangu wa zamani ni
(Noma) kila ninachofanya hakuna ni (noma)
Aiyaa aiyaaa
Ona moyo unalipuka maana uishi kunizuga zuga
Tena umegeuka yuda sikomi kunisulama nia yako niumie tezo naiweka
Embe maruhani nisaidie panda palipo na pete kwan sisi tupo wangapi
Ama mimi mshika shati na chakula
Hakiliki baba wewe kila siku kesi kesi
Kwan sisi tupo wangapi ama mimi mshika shati na chakula hakiliki baba
Wewe kila siku kesi kesi nimechoka mwenzio (lawama) mh mh (lawama)
Nimechoka na wewe (lawama) mapenzi yangu ya
Zamani ni (noma) kila ninachofanya hakuna ni (noma)




Karen - Lawama
Album Lawama
date of release
21-06-2018

1 Lawama




Attention! Feel free to leave feedback.