Lyrics Kwetu - Kidum Kibido
Vile
ninavyoona
Vile
ninavyohisi
Sikai
kama
mtu
Anaficha
hisia
Huwezi
kuficha
moto
moshi
ikitokea
Ukificha
mapenzi
wee
unaumia
ndani
ndani
Nashindwa
kuelewa
Hii
ni
mwenendo
gani
Taratibu
ni
vema
lakini
isiwe
kunirusha
inje
Wacha
nikupende
mpenzi
Wacha
nikuhisi
ndani
ndani
Nishike
mkononi
twende
mbali
Kwetu
(ingawa
mbali)
Kwetu
(huko
ni
nyumbani)
Kwetu,
ntakubeba
kwetu
Taratibu
ni
vema
Lakini
kusiwe
mwengine
Nielezee
kwa
nini
wee
una
hofu
na
mimi
Nakupenda
I
love
you
Je
t'aime
Hakika
Tazama
Uso
wangu
Nimekumbwa
Na
mzozo
wa
kiumapenzi
Natangaza
wazi
Hadharani
Nakupenda
sana
niko
na
wewe
kufa
na
kupona
Wacha
nikupende
mpenzi
Wacha
nikuhisi
ndani
ndani
Nishike
mkononi
twende
mbali
Kwetu
(ingawa
mbali)
Kwetu
(huko
ni
nyumbani)
Kwetu,
ntakubeba
kwetu
Wacha
nikupende
mpenzi
Wacha
nikuhisi
ndani
ndani
Nishike
mkononi
twende
mbali
Kwetu
(ingawa
mbali)
Kwetu
(huko
ni
nyumbani)
Kwetu,
ntakubeba
kwetu
Natangaza
wazi
Hadharani
Nakupenda
sana
niko
na
wewe
kufa
na
kupona
Wacha
nikupende
mpenzi
Wacha
nikuhisi
ndani
ndani
Nishike
mkononi
twende
mbali
Kwetu
(ingawa
mbali)
Kwetu
(huko
ni
nyumbani)
Kwetu,
ntakubeba
kwetu
Wacha
nikupende
mpenzi
Wacha
nikuhisi
ndani
ndani
Nishike
mkononi
twende
mbali
Kwetu
(ingawa
mbali)
Kwetu
(huko
ni
nyumbani)
Kwetu,
ntakubeba
kwetu
1 Ishano
2 Ingovyi
3 Kiriza Urutoke
4 Mbabarira
5 Umenikosea
6 Kwetu
7 Number Moja
8 Amosozi
9 Ngwino
10 Amata Y'imfyufyu
11 Kichuna
12 Urugendo
13 Ishano - Reprise
Attention! Feel free to leave feedback.