Kidum Kibido - Number Moja Lyrics

Lyrics Number Moja - Kidum Kibido



Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nimeshatembea
Nimeshazunguka
Kila pahali
Nikifika kila korna
Nimejaribu
Kutafuta
Kinachoweza
Kuridhisha moyo wangu
Nikatanga tanga
Mashariki
Na kusini
Ili muundaji nitafute
Nikamanga manga
Magharibi
Kaskazini
Kupata kile ninachotaka
Wimbo
(CHORUS)
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Juhudi zangu zote
Zilipogonga mwamba
Nikafa moyo
Nikakata tamaa
Ndio bwana
Akaja kanigusa
Nikasimama
Nikaanza kutembea
Asante bwana
Mwokozi wangu
Nimetambua
Kama nimekupata
Pewa wimbo
Pewa sifa
Asante Yesu
Nimeshatembea
Nimeshazunguka
Kila pahali
Nikifika kila korna
Nimetambua
Nimekupata
Bwana Yesu
Mwokozi wangu
Nafasi
(CHORUS)
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja
Nafasi yote moyoni
Nimeshaipa kwa Yesu
Ni namba moja, moja
Moja, moja



Writer(s): Jean-pierre Nimbona, Philip Kioko


Kidum Kibido - Ishano
Album Ishano
date of release
08-03-2017




Attention! Feel free to leave feedback.