Kidum - Hadi Kifo Lyrics

Lyrics Hadi Kifo - Kidum



Ooh ooh ooh oooh Yeah
Huyu ni Ms Zerah
Nini, kwani kwanini
Na kidumu kibido
Nasema mpenzi
Tumetoka mbali
Sasa ni wakati
Tufikilie ndoa
Tukingoja ngoja
Tutapata mwana si wetu
Ni muhimu tuchukue maamuzi
Kumbuka vile
Wapinzani wamekua wakichochea
Tukaweza kuwashinda
Adui yako mamaa
Ni rafiki yakoo
Nimeona na kuskia mengi
Nimepitishwa kwa mitihani
Napanda shuka nyingi
Shauri tuu nilikupenda
Usisite site mpenzi
Kufunga pingu za maisha
Tunda hili ni halali kwetu
Usikumbwe kumbwe na hofu
Ya kwamba ntakuja kukubwaga
Niko nawe mpaka siku ya kifo
Nimekua nikingoja
Maamuzi yatoke kwako
Kwani ni wewe tuu na nakupenda
Nimekua nikijishuku
Kama labda sijawahi kuridhisha
Nilijitolea siku zote
Sikubaki na chochote
Sijawahi ata kukupenda
Usisite site mpenzi
Kufunga pingu za maisha
Tunda hili ni halali kwetu
Usikumbwe kumbwe na hofu
Ya kwamba ntakuja kukubwaga
Niko nawe mpaka siku ya kifo
Kifo kifo kifo
Niko nawe mpaka siku ya kifo
Ni mimi na wewe
Siku zote milele
Ni mimi na wewe
Siku zote milele
Usisite site mpenzi
Kufunga pingu za maisha
Tunda hili ni halali kwetu
Usikumbwe kumbwe na hofu
Ya kwamba ntakuja kukubwaga
Niko nawe mpaka siku ya kifo
Usisite site mpenzj
Kufunga pingu za maisha
Tunda hili ni halali kwetu
Usikumbwe kumbwe na hofu
Ya kwamba ntakuja kukubwaga
Niko nawe mpaka siku ya kifo
Ni mimi na wewe
Siku zote milele
Ni mimi na wewe
Siku zote milele
Milele...




Kidum - Hadi Kifo
Album Hadi Kifo
date of release
10-01-2018




Attention! Feel free to leave feedback.