Kidum - Nipe Nguvu Lyrics

Lyrics Nipe Nguvu - Kidum



Baba baba baba
Mungu baba eeeh eeh
Siku nyingi nimekaa najiuliza
Upendo wako Baba
Kwa walimwengu
Wewe ni mwema Baba wa uruma
Muumba wa mbingu na duniya
Mwanzo na mwisho
Sisi watoto tutakusifu na tutakwabudu
Ndiyo sababu twasema asante
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Ili niwe wako
Niwe wako (yeah eeh)
Ili niwe wako
Tazama kila pande ya duniya
Kuna viumbe za kila aina
Na kuna sisi kwa mufano wake
Mungu Baba ni mwenye kutujaali
Mwenye kutujaali
Mungu Baba ni mwenye kutupenda
Mwenye kutupenda
Umelipa ngapi kwa uhayi wako
Umepana nini kwa kubarikiwa
Mungu ni mwema
Mwenye rehema
Mwenye rehema zote
Nishike
Nishike mkono nisianguke
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Ili niwe wako
Ili niwe wako
Tuko mbele zako
Tukipiga magoti Baba
Tusamehe dhambi zetu
Tuko mbele zako
Tukiwa wanyenyekevu
Baba tupe amani
Eeeh eeh
Tuko mbele zako
Tukipiga magoti Baba
Tusamehe dhambi zetu
Eeh eeh
Tuko mbele zako
Tukiwa wanyenyekevu
Baba tupe amani
Tupe amani baba
Ndiyo sababu
Twacheza kita
Hivi iiiii eeeeh
Twacheza kita aaaa
Kwa sifa zako Baba
Kwa utukufu wako
Tukikutuza
Eeeh eeeh
Nishike mkono nisianguke
Nisiteleze
Nahitaji msaada kutoka kwako
Nishike nishike eeh eeh
Nipe nguvu na uvumilivu Baba
Ili niwe wako
Nishike mkono nisiteleze
Niwe wako
Niwe wako Baba
Ili niwe wako
Ili niwe wako



Writer(s): Jean-pierre ''kidum'' Nimbona


Kidum - Hali Na Mali
Album Hali Na Mali
date of release
01-03-2014




Attention! Feel free to leave feedback.