King Kaka - Gorilla Lyrics

Lyrics Gorilla - King Kaka



King engaged sio ndoa ahh busy kwa track
Bado tatu legendary kama biggy na black
Na nyinyi fake kama tako na matiti za nicky
Bad boy smooth na rough ka baro za
Mwiki nabebea mziki next generation overies
Shingo imepigwa ngeta na ma rozaries
Hadi alikam from vatikam
Pole i was busy mteja haptikani
Marapper wanaingiza njeve
Wavae cadigan
Madem bado wanadai he cant get it
The darker the juice
The sweeter the berry
Me nawanyima mama nalip bima
Yaani insurance
Pima nalipa bima
Ile dinga baadae ndio ntalipa dinner
Tangi niwe MC on stage ka Obinna
Nimeskizwa naija aah hadi uchina
Na mistari oriji nilizaliwa Bahati kwa Clinic
Buda real name no genic
Zile blow nawapea hawarecover kamili
Am still number uno na wananicover kwa nini
Hello natrend kama cover ya jimmy
Na kuna watu wananiskiza daily ka Dini
Tuliza nyavu samaki ndio wale
Dem wako amezubaa?
Tunamwiba na Dwale
Mistari stone ka quarry lakini sobber jajiko
Mister tatizo nimeema likozo
Nawajaza ka casper ka si threesome staki
Hizo goal imbo na silver mabati
We pita tu ka extra niachie wotero
Boss nameasure forest we nyasi ya kidero
Who's funny?
Wanataka kunistrip off my medals
While naget paid dnt forget bedi na petals
Sazingine ni poa uwe mromantic
Na usiku kiu ikizidi kunywa majik
Haaa inaitwa product placement
Bado nina top floors we kazana na basements
Juzi tu ndio ulijifanya beshte yangu
Na unani back bite story zangu
We unajua ni deals ngapi umepta ju yangu
Hata ungeitwa roof bado huwezi kuwa juu yangu
Niko na ma inmates kamiti na mafans kiganjo
Nizo nappier ni ponch mbili ama ni kiwaru
Mr.King bado forces hunipa salute
Am still uni ndani kwa game
Wehatujui story zako na Maina Kageni
Na since me ndio king walitaka niadress hii beff
Kwanza wangoje niadress akina Jizi
Wengine hatutaonana eye to eye
Wamenitext kisiri tusquare nyi mayai
Hamjawai kunisaidia kulipa bills zangu costly
Mistari mchele kama za Bill Cosby
Eti we are talked about it capital pia
Na unadhani hio ujinga yote streets waliskia l?
Ok waliskia unadhami waliaminia?
Flameable mate yangu huitwa castrophe
Pesa hazijakuja? buda ka strong
Bado mnakula na kuvuta ndio mweze kunata
Wacha nicall Jaguar mnasakwa na NACADA
Me halali sihitaji sticker ya KEBS
Blah blah blah zinarhyme na debts
Napkin Kijiko na uma deals nazikula
Nilikua artistic tangu kutambo rhyme Mutula
Mistari na picture... uliza Tabitha
Nyi skuma mi mchicha
Not me ni Kartel but adi ticha
Haujalipa rent? buda ni tarehe sita
In my own league kasa megumbar
We tuktuk beta king Subaru
Na shule nilikua kina shaggy na scooby doo
Sahi best top male nafuatwa na no 2
Madem wanainsist niwape just the tip
Just the tip ka waiter
Mistari single ruled ka zebra
Man of the year uliza Phyno
Sinanga ma canines niko tu na wisdom tooth jino
Skuizi digital bana tulipungiza wino
Mr.tighter than kamba haitoshei
Tighter than Wamburi
Yaani tighter that Bikra
Tighter than budget zote za wakenya
Tighter than baika za madem wa slim possible
Tighter than security ya American Embasy
Tighter than schedule ya King Kaka
Tighter than relationship ya Obama na Michele
Tighter that trao ya Eric Omondi na Chimano
Tighter than hizo diss zote 49
Yaani tigher than kukafunga
Yaani mi ni mtight... yaani mi ni mtight
Than your favourite Mc
Lakini ni too bad your favourite MC's girl ni mloose
KING KAKA ...
(GORILLA.)



Writer(s): Kennedy Otieno Ombima


King Kaka - It's the King
Album It's the King
date of release
28-01-2016




Attention! Feel free to leave feedback.