Lady Jaydee - Na Iwe (feat. Maunda Zorro) Lyrics

Lyrics Na Iwe (feat. Maunda Zorro) - Lady Jaydee



Utokapo na uingiapo na uendapo aah oh
Baraka na zikufuate na kila uendapo
Uketipo usimamapo na ulalapo aah ooh
Naiwe, naiwe, na iwe, na iwe
Na iwe, siku ya baraka
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe
Ni baraka tunapokea tunashukuru sana
Kutuinua na kutupenda unatupenda sana
Mwangaza na kubwa nuru twaiona njiani
Tusimame na tukusifu
Na iwe, na iwe
Na iwe, na iwe
Na iwe, siku ya baraka
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe
Naonyeshwa upendo wako juu yetu
Ukafanya neno liwe njia kazi yetu
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima
Maisha yetu baraka zako wewe Baba
Nitakusifu kukuabudu daima
Na iwe, na iwe
Na iwe, na iwe
Na iwe, siku ya baraka
Na iwe, siku ya amani
Na iwe, siku ya upendo
Na iwe, na iwe



Writer(s): Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - 20
Album 20
date of release
12-02-2021




Attention! Feel free to leave feedback.