Lady Jaydee - I Love Myself Lyrics

Lyrics I Love Myself - Lady Jaydee



I love myself
Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza
Sijawahi kujidanganya kujichanganya
Najipenda kujiweka kwanza
Najishika mkono kudondoka
Ni njia ya kuondoa fear
Hata nikikosea
Najitafakari bila kuchelewa
Sina wa kuniropokea
Najipenda mwenyewe na kujitegemea
Wivu haunisumbui chaguo langu
Lisikufanye uwe na uadui
Kiio kwangu hicho
Kioo kinanipa vazi lipi
Nitupie nauelewa moyo wangu
That′s why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Ni kitunguu tu nikatapo
Kinaweza kunitoa chozi
Si maneno ya watu
Hayanifiki hata shingoni
Sina wa kunisumbua hey
Na enjoy my life
Na niwaambie
Nimejifunza kuona nilipoanzia
Hata nikidondoka nasimama mwenyewe
Kwani mi ndio somo
Somo la kukufanya uelewe
Mimi ndio somo that's why I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself
Kupendeza ndio kawaida yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hilo si swala langu
I love myself
Kujipenda hio ndo hulka yangu
Wala shaka sina
Usipopenda hio si shida yangu
I love myself



Writer(s): Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - 20
Album 20
date of release
12-02-2021




Attention! Feel free to leave feedback.