Lyrics Ng'ari Ng'ari - Lava Lava
(Ayolazer)
(Dopabeat)
Nimetulizana
ndege
kwa
kiota
sitoki
Mambo
mwororo
Nimenasiana
hata
kwa
kuku
kutwa
sing′oki
Kwa
minyororo
Nishasahau
zamani
kushikana
mashati
mizozo
Mapenzi
gani
kila
kukicha
vibonzo
Nimepata
mwandani
bila
VAT
bila
tozo
Wambea
kunani
mnakipi
kina
mama
nyonzo
Na
nimeamua
sitaki
sitaki
Kurudia
matapishi
nishakula
yamini
divai
Aende
akanishitaki
mahakamani
polisi
Kama
kuna
kitu
ananidai
Ooh
poleni
wanokonoko
Penzi
linameta
meta
meta
Mwali
fundi
si
kitoto
Kama
kasomea
veta
veta
Mwiteni
na
kiroboto
Mje
na
matarumbetambeta
Sisi
twachochea
moto
Roho
kuwakereketa
Penzi
linang'ara,
ng′ari
ng'ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng′ari
Kwa
mbali
linapepea,
ng′ari
ng'ari
Mtaliona
ivi
ivi,
ng′ari
ng'ari
Wenyewe
twajifaidia
Aniita,
aniitani
ayuni
Namwita
nyonda
sabuni
Anipa
anipa
mpaka
mafuli
Sio
mbwembwe
ndio
zake
tamaduni
Najua
mimi
niko
peke
yangu
Ndo
maana
natamba
Sina
shaka
hofu
kwa
raha
zangu
Hata
mkinichamba
Wenye
roho
za
kwanini
Nitajijua
zangu
niko
naye
sambamba
Mi
napenda
yake
anapenda
yangu
Kuilamba
lamba
Zifikisheni
salamu
kwa
yule
kidudu
mtu
Mwambie
kutesa
kwa
zamu
asipige
marufuku
Yaani
ni
mashamu
shamu
leo
mambo
iko
huku
Nimepata
bekamu
fundi
si
butubutu
Ooh
poleni
wanokonoko
Penzi
linameta
meta
meta
Mwali
fundi
si
kitoto
Kama
kasomea
veta
veta
Mwiteni
na
kiroboto
Mje
na
matarumbetambeta
Sisi
twachochea
moto
Roho
kuwakereketa
Penzi
linang′ara,
ng'ari
ng′ari
Mtaliona
hivi
hivi,
ng'ari
ng'ari
Kwa
mbali
linapepea,
ng′ari
ng′ari
Mtaliona
ivi
ivi,
ng'ari
ng′ari
Wenyewe
twajifaidia
Mwenzenu
napewa
vitamu,
tende
halua
halua
Vya
pwani
vya
bara,
tende
halua
halua
Anipa
haninyimi
wala,
tende
halua
halua
Mwenzenu
nalishwa
nalala,
tende
halua
halua
Aah
Wasafiii
Attention! Feel free to leave feedback.