Linah feat. Christian Bella - Hellow Lyrics

Lyrics Hellow - Christian Bella , Linah



Hello hello hello
We sindo yule ulie nitamkia, kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie
We sindo yule ulie nitamkia kuwa uvungu wa moyo wako kwel ndo mieeeeeh
Hello helloooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooo oooh my sweet.
Walinenaga mapenzi ni upofu kipofu leo nimeona (aaaah eeeeh)
Moyo wangu unahofu kwa ganzi ya penzi ulonchoma
Lonenly lonenly iiiiii (lonenly)
Lonenly(lonely) lonely iiii
We sindo yule ulie nitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie
We sindo yule ulienitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mieeee
Iweje leooo hupokei cmu zangu mieeee
Iweje leoo u don't pick up my calls yeahh
Hello helloooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooo(helloooo) oooh my sweet
Sweet iiii mmmmh maaaaah aaaah
Ukilia mamaiii na mimi pia ntaliaaaaa(ntaliaaa)
Unapo unalalamika ujue moyo unanichoma(unanichomaaa)
Kutafuta tu mapesa ndo inanifanya niwe busy oooooh ooooh my yeèee
Sijapenda uwe lonely iiiiii(baliiii)
We ndo kiboko wangu uuuuh uuuh uuuuh
Mtoto mzur kama wewe unahitaji matunzoooo
Na nikiwa sina pesa itakuajeeee
Wasije wenye mapesa zao wakakuchukua taratibuuu aaaah cwitiee
Hello helloooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooooo oooh my sweet
Hello hellooo oooh my sweet
Mbona nakuona insta na watsapp meseji unasoma
Cmu kutwa busy tu au zangu hujaona?
Huo ubusy kwangu tuuuuh
Kuwa waz kama naboa we baba weeeh mmmmh
Ale meona mama nmeshakwelea
Naomba mamaa unisamehe(eeeeh)
Sogea kidogo nkuulize kitu kidogoooo
Unataka tuwe pamoja aaaaah(aaaaah)
Unataka nisiwe mbali na weeeh
Every day, every night, kila siku, kila dakika aaaaah babaaaah
Every day, every night, kila siku maaaa kila dakikaa sasa baby tutakula nini?
Hello helloooo oooh my sweeteee(hello sweet)
Hello hellooooo oooh my sweetee(hello sweet)
Hello hellooooo oooh my sweeteee(hello sweet)
Hello hellooo oooh my sweet...



Writer(s): Aaron Fanyana Mayisa, Linah


Linah feat. Christian Bella - Hellow (feat. Christian Bella)
Album Hellow (feat. Christian Bella)
date of release
12-08-2015

1 Hellow



Attention! Feel free to leave feedback.