Linah - Marry You Lyrics

Lyrics Marry You - Linah



Wanasema nimeparanga, kukuchagua
We mwana kiranga, nimekomoka komo
Wakaatia na mchanga, kwenye kitumbua
Kabisa wakanicharanga, wacha tuwapige domo
Hawajui, kwako napoa
Haujaniboa
Hawajui, umenipa natoa
Yale mambo ya moto moto
Umbali umenitoa
Nilikuwa butu ukaninoa beiby
Wasubiri ndoa
Tena waambie
I want to marry you
Wale wakuna washakunaku
I want to marry you
Peleka kadi uwaambie
I want to marry you
Kwetu wamefua dafu
I want to marry you
I-I want to marry you
Marafiki huku rumbembe
Tia block wana nuksi
Maneno yao ni vijembe
Penzi kuliwekea chuki
Aibu mpaka na vichwa kuinama
Wakituona wanaenyeka enyeka
Wameharibu ila penzi halijazama
Yao yamegoma sisi bado tunapwata
Hawajui, kwako napoa
Haujaniboa
Hawajui, umenipa natoa
Yale mambo ya moto moto
Umbali umenitoa
Nilikuwa butu ukaninoa beiby
Wasubiri ndoa
Tena waambie
I want to marry you
Wale wakuna washakunaku
I want to marry you
Peleka kadi uwaambie
I want to marry you
Kwetu wamefua dafu
I want to marry you
I-I want to marry you
You you you, you you you
You you you you
I want to marry you
You you you, you you you
You you you you
I want to marry you



Writer(s): Linah Sanga


Linah - Marry You
Album Marry You
date of release
22-11-2019




Attention! Feel free to leave feedback.