Lyrics Hewala - Linex , Christian Bella
                                                Kila 
                                                nikiyatafakari 
                                                mapenzi 
                                                najiona 
                                                kama 
                                                nina 
                                                hatia
 
                                    
                                
                                                Niko 
                                                kifungoni 
                                                na 
                                                machoni 
                                                haunioni
 
                                    
                                
                                                Kila 
                                                nikiyatafakari 
                                                mapenzi 
                                                najiona 
                                                kama 
                                                nina 
                                                hatia
 
                                    
                                
                                                Niko 
                                                kifungoni 
                                                na 
                                                machoni 
                                                haunioni
 
                                    
                                
                                                Labda 
                                                niliumbwa 
                                                niwe 
                                                bachelor
 
                                    
                                
                                                Nisiwe 
                                                na 
                                                mpenzi 
                                                mpaka 
                                                kwa 
                                                hela
 
                                    
                                
                                                Labda 
                                                niliumbwa 
                                                niwe 
                                                bachelor
 
                                    
                                
                                                Nisiwe 
                                                na 
                                                mpenzi 
                                                mpaka 
                                                kwa 
                                                hela
 
                                    
                                
                                                Aaah 
                                                aah
 
                                    
                                
                                                Naweza 
                                                kuigiza 
                                                nakupenda
 
                                    
                                
                                                Nikakufanya 
                                                kiini 
                                                macho
 
                                    
                                
                                                Ukaamini 
                                                nakupenda
 
                                    
                                
                                                Kwa 
                                                mwingine 
                                                siwezi 
                                                kwenda
 
                                    
                                
                                                Naweza 
                                                kuigiza 
                                                ukarimu 
                                                na 
                                                upole
 
                                    
                                
                                                Mbele 
                                                ya 
                                                macho 
                                                ya 
                                                watu
 
                                    
                                
                                                Ukaamini 
                                                nakupenda
 
                                    
                                
                                                Kwa 
                                                mwingine 
                                                siwezi 
                                                kwenda
 
                                    
                                
                                                Nawo 
                                                menya 
                                                kalima 
                                                mutima 
                                                uhundi 
                                                kumaso
 
                                    
                                
                                                Huwezi 
                                                jua 
                                                kilicho 
                                                ndani 
                                                ya 
                                                mtu 
                                                kwa 
                                                macho
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga 
                                                (Mama 
                                                eeeh)
 
                                    
                                
                                                Sema 
                                                uko 
                                                yanga 
                                                au 
                                                uko 
                                                simba 
                                                (ooooh)
 
                                    
                                
                                                Japo 
                                                ningepata 
                                                hata 
                                                chembe 
                                                ya 
                                                uzito 
                                                wa 
                                                haradali 
                                                moyoni 
                                                mwako
 
                                    
                                
                                                Mimi 
                                                ningesema
 
                                    
                                
                                                Hewala 
                                                hewala 
                                                hewalaaaa
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga 
                                                (Mama 
                                                eeeh)
 
                                    
                                
                                                Sema 
                                                uko 
                                                yanga 
                                                au 
                                                uko 
                                                simba 
                                                (ooooh)
 
                                    
                                
                                                Japo 
                                                ningepata 
                                                hata 
                                                chembe 
                                                ya 
                                                uzito 
                                                wa 
                                                haradali 
                                                moyoni 
                                                mwako
 
                                    
                                
                                                Mimi 
                                                ningesema
 
                                    
                                
                                                Hewala 
                                                hewala 
                                                hewalaaaa
 
                                    
                                
                                                Mama 
                                                eeeh
 
                                    
                                
                                                Motema 
                                                na 
                                                ngai
 
                                    
                                
                                                Mama 
                                                eeeh
 
                                    
                                
                                                Maya 
                                                baya 
                                                zela 
                                                ngaiiii
 
                                    
                                
                                                Nooo 
                                                nooo 
                                                nooo 
                                                nooo 
                                                oooh
 
                                    
                                
                                                Jasiri 
                                                haachi 
                                                asili 
                                                kweli 
                                                uliteka 
                                                akili 
                                                yangu
 
                                    
                                
                                                Matusi 
                                                yako 
                                                ya 
                                                nguoni 
                                                thamani 
                                                yangu 
                                                huoni
 
                                    
                                
                                                Mpenzi 
                                                kumbuka 
                                                mutu 
                                                muoga
 
                                    
                                
                                                Kusimulia 
                                                matukio 
                                                ya 
                                                mutu
 
                                    
                                
                                                (Jasiri) 
                                                mala 
                                                kofunda 
                                                yangu 
                                                ya 
                                                mamaaa
 
                                    
                                
                                                (Jasiri) 
                                                oyo 
                                                salikala 
                                                kokiko 
                                                kosa 
                                                la 
                                                kii
 
                                    
                                
                                                (Jasiri) 
                                                nakokoma 
                                                chepa 
                                                ya 
                                                papa
 
                                    
                                
                                                (Jasiri) 
                                                baye 
                                                boi 
                                                wazala 
                                                ki 
                                                wangai
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga 
                                                (Mama 
                                                eeeh)
 
                                    
                                
                                                Sema 
                                                uko 
                                                yanga 
                                                au 
                                                uko 
                                                simba 
                                                (ooooh)
 
                                    
                                
                                                Japo 
                                                ningepata 
                                                hata 
                                                chembe 
                                                ya 
                                                uzito 
                                                wa 
                                                haradali 
                                                moyoni 
                                                mwako
 
                                    
                                
                                                Mimi 
                                                ningesema
 
                                    
                                
                                                Hewala 
                                                hewala 
                                                hewalaaaa
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga 
                                                (Mama 
                                                eeeh)
 
                                    
                                
                                                Sema 
                                                uko 
                                                yanga 
                                                au 
                                                uko 
                                                simba 
                                                (ooooh)
 
                                    
                                
                                                Japo 
                                                ningepata 
                                                hata 
                                                chembe 
                                                ya 
                                                uzito 
                                                wa 
                                                haradali 
                                                moyoni 
                                                mwako
 
                                    
                                
                                                Mimi 
                                                ningesema
 
                                    
                                
                                                Hewala 
                                                hewala 
                                                hewalaaaa
 
                                    
                                
                                                Ningesema 
                                                Hewala 
                                                hewalaaa
 
                                    
                                
                                                Ningesema 
                                                Hewala 
                                                hewalaaa
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                
                                                Unapuyanga 
                                                puyanga
 
                                    
                                Attention! Feel free to leave feedback.
                