Linex - AYEYE Lyrics

Lyrics AYEYE - Linex



Usivunjike moyo haya majina tuu yanapita
Kuna life after fame
Huna haja ya kuniacha
Tuianze safari nitakula kiapo
Cha utii na ukweli (ayeye eeh)
Natamani niwe nawe milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema
Nakupenda (ayeye)
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beautiful
It's you I've been looking for
Nikifaulu maisha
Baby uwe nyuma yangu (ayeye yee)
Kwenye misango ya mawazo
Nisiwe peke yangu (ayeye yee)
Nisiwe jeshi la mtu mmoja
Nikishiba nisahau Mwenyeza (ayeye yee)
Maisha ni ya mafupi
Twende wakati wetu tukawe sabakina (ah, ah, ah)
Kuja niwe na mfetu (ah, ah, ah) uwe na mfetu
Natamani niwe nawe, milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema
Nakupenda (ayeye)
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimemeeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beutiful
It's you I've been looking for



Writer(s): Sunday Moshi Mangu


Linex - AYEYE
Album AYEYE
date of release
27-01-2020

1 AYEYE




Attention! Feel free to leave feedback.