Maua Sama - Amen Lyrics

Lyrics Amen - Maua Sama



Aaaaaah aaaaah aaaaaah
Aaaaaah aaaaah aaaaah (abbah)
Baby wajua leo nina furaha, babe
And you is all I want
And I don′t need someone else babe
Yeeeh
Nipe nipende kipekee
Nitunze kwa moyo wote
Nami mapenzi nikupe
Sikwachi hata sekunde
Na hisia zangu zakuita yeh
Uingie moyoni
Nawe uwe mwanga wangu kumulika
Unitoe gizani
Kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
Nimpendae ni we ee tu, all day eh
Kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
Nimpendae ni wewe tu wifey
Atubariki, ameeen
Na atulinde, ameeen
Atuongoze, ameeen
Milele yote, ameeen
Wote tuseme, ameeen
Walidhani sikufai, leo wanashangaa ni siku yetu ma babe
Ndoto imekua hata familia wanafurahi ma babe
Vile umeniwahi, kote wanikaa eh shingoni kama tai (tai tai eh)
Na leo najidai heshima ulonipa ya kuwa mwenzi wako milele
Daima (mama we) ntakulinda (mama we)
Sina sababu (mama we) ya kukutenda
Moyo wangu ni wako ninakukabidhi peke yako wewe
Fungua wa kwako nifurahie pendo lako
Na hisia zangu zakuita yeh
Uingie moyoni
Nawe uwe mwanga wangu kumulika
Unitoe gizani
Kwa sababu ni we ee tu, ni we ee tu
Nimpendae ni we ee tu, all day eh
Kwa sababu ni wewe tu, ni wewe tu
Nimpendae ni wewe tu wifey
Atubariki, ameeen
Na atulinde, ameeen
Atuongoze, ameeen
Milele yote, ameeen
Wote tuseme, ameeen




Maua Sama - Amen
Album Amen
date of release
08-01-2018

1 Amen




Attention! Feel free to leave feedback.