Max B feat. Mak Mustard, Al Pac - R.I.P. Sean Bell Lyrics

Lyrics R.I.P. Sean Bell - Max B feat. Mak Mustard, Al Pac



Kulalama kufuru lakini,
Naona ndo napooza moyo,
Uwepo wako sawa na nwiba kidoleni,
Ile tamu imegeuka shubiri,
Nilipokuthamini nkakupa moyo, hata kutwendwa sikufikiri,
Kinywa kizito kukubali ukweli, moyo unashindwa inaniuma ni hatari,
Mapenzi yanatala dunia sawa,
Nimechoka kutawaliwa kama uwepo wako sawa na mwiba kidoleni, ile asali wanalinda wengine, siwezi kubishana na moyo, nilikupenda kipepeo, ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha.go.!!
Basi nenda nami ntafute sababu ya kuridhia, sawa nenda nami ntaudanganya moyo utatulia*2
Wanasema upendo wa ukweli ndo hata ufutiki,
Ila kwa baadhi najua, laiti ningeelewa, kuvuma kwa upepo hakutobadili misimu ya jua,
Nilishajua mienendo yako, tusingewezana aah haa!!
Kumbe nakunywa maji ya moto nami bado mtoto kwangu changamoto mhh...
Waliposema hufai nilijipa moyo ni ya walimwengu birkebinenze bindi biroza karoli aliniambia,
Labda thamani ya mapenzi ni kikombe sikukivunja sina thamani sawa nimeelewa sana sina haja ya kung'ang'ana...
...basi nend...×2... asanteni




Max B feat. Mak Mustard, Al Pac - Library of A Legend: Vol. 15
Album Library of A Legend: Vol. 15
date of release
02-08-2011



Attention! Feel free to leave feedback.