Lyrics Baikoko - Mbosso , Diamond Platnumz
(Ayo,
Laizer)
Hey,
kako
fine
Kila
nikikaweka
kwenye
line
Bilabila
Shuwaini
(shuwaini)
Kwake
nimelewa
kama
wine
Tilalila
Ye
sisimizi
nami
gegedu
tuna
gegeduana
(gegedu)
Nilivyo
sina
jinsi
Tajiri
wa
mbegu
Namuhonga
na
mwana
Baba
Mndenge
mama
Mzaramo
Uno
lake
la
kurithi
(aah-eh)
Kafunga
tenge
mwali
chakalamu
shetani
mwana
ibilisi
Jipuu
(jipu)
Uchungu
(uchungu)
Mwana
nyuma
umejaza
kishindundu
Kwenye
zipu
(zipu)
Kuna
kirungu
(kirungu)
Usikamate
utawaita
wazungu
Eeh-hey
Babu
mkuna
nazi
(mkuna
nazi)
achutama
kishinani
Na
msuli
wake
uko
wazi
(uko
wazi)
Mambo
yote
hadharani
Oh,
go-goal
go-goal
Mtoto
anadaka
Goli
kipa
runya
mira
(wabeja)
Tena
akikata
anaitikisa
sababu
(brr,
okay)
Baby,
aje
unachezaga?
(Baikoko)
Unavyo
baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga
(Baikoko)
Eeh,
waonyeshe
(Baikoko)
Baby,
aje
unachezaga?
(Baikoko)
Unavyo
baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga
(Baikoko)
Eeh,
waonyeshe
(Baikoko)
Asa
komesha
dengua!
Dengua
Baby
dengua!
Dengua
Ringa
Dengua!
Dengua
Deka
Dengua!
Dengua
wakuone
Kanivua
ndala
miguu
Anataka
nipite
peku
(peku,
peku)
Kunduchi
juu
anifikishe
kwetu
(kwetu,
kwetu)
Embu
tamu
ladha
ya
kitumbua
Rojo
ya
embe
Kibada!
Kibada
Hodari
kunengua
Miuno
ya
ushubwada
(ushubwada)
Nyuma
kalisasambua
Kafungasha
midabwada
(bwada)
Anavyo
tafuna
mua
Ka
kibogoyo
dada!
(Woo!)
Katoto
kamelainika
kwala
(kwala)
Kukapa
ndizi
banana
(nana)
Nakapeleka
kwa
mama
(mama)
Mama,
Dangote
(woo!)
Kama
kuku
twakimbizana
(zana)
Kana
ibuka
kana
zama
(zama)
Kamwili
kana
balaa
na
laana
(laana)
laana,
kazote
Eboh!
Mtoto
anadaka
Goli
kipa
ronya
mira
(wabeja)
Tena
akikata
anaitikisa
sababu
(brr,
okay)
Baby,
aje
unachezaga?
(Baikoko)
Unavyo
baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga
(Baikoko)
Eeh,
waonyeshe
(Baikoko)
Baby,
aje
unachezaga?
(Baikoko)
Unavyo
baby
(Baikoko)
Unavyoinyonga
(Baikoko)
Eeh,
waonyeshe
(Baikoko)
Asa
komesha
dengua!
Dengua
Baby
dengua!
Dengua
Ringa
Dengua!
Dengua
Deka
Dengua!
Dengua
wakuone
Kama
anaifata
Anaima
anainuka
mwali
anaifuata
Kwa
kujishebedua
Anainama
anainuka
mwali
anaisusa
Kama
hataki
mwana
Anaima
anainuka
mwali
anaifuata
Kwa
madoidoi
Anaima
anainuka
mwali
anaifuata
(Brra)
(Kwa
mix,
Laizer)
(Wasafi)
Attention! Feel free to leave feedback.