Miki - Nikumbushe Lyrics

Lyrics Nikumbushe - Miki



Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele Pale mambo yanapoonekana
Hayaendi Ni ajabu sana namna moyo unahangaika Ajabu sana moyo
Unavyoonyesha mashaka yakwamba Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu
Kuna muda nahofu, Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu,
Ahh Nakumbuka wana wa Israel katika bahari
Yashamu Japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa.
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa Yalibadilika mambo,
Manung'unikoo yalisimama Na
Kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah.
Eee MUNGU Nisaidie ee eeh Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili
Nikusifu Niimbe wimbo wa sifa katikati ya
Machozi, Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
Eeh ee MUNGU Nisaidie Nisaidie kukumbuka baba yakwamba umenichora
Kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh Na mimi umenionaa
Oooh ooo Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya
Nilipoumwa Yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni.
Ouoh ooh Yakwamba kama ungeniacha hatua moja Nisingelifika nilipo ooh
Eee Babaa Umenikung'uta mavumbi,
Kung'uta Mavumbi mimi na kuniheshimisha.
Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa
Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa
Katikati ya machozi Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
Nikumbushe wema wako nisije laumu Nikumbushe ukuu wako wakati wa
Magumu Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu Niimbe wimbo wa sifa
Katikati ya machozi Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi,
Yesu nakutazama ninakuamini wewe Fungua maisha yangu,
Nisaidie nisilalamike Mbele zako,
Katika hali zote nijue upo Umesema hutaniacha eeh Yahweh




Miki - Nikumbushe
Album Nikumbushe
date of release
05-11-2019




Attention! Feel free to leave feedback.