Lyrics Nimwage Radhi - Harmonize , Mrisho Mpoto
(Harmonize)
Furaha
isio
kifani
kukupata
Mwandani
hakika
wamependeza
Goma
lipo
uwanjani
kaibiwa
nani
Sa
unaachaje
kucheza
(Mpoto)
Ama
kweli
harusi
imefana
tena
ya
ki
historia
Pande
zote
baba
na
mama
naona
Wanashangilia
ila
sitaki
kua
Mnafiki
jumba
bovu
kuniangukia
Nina
langu
moyoni
Ningependa
kuwaambia
Bi
harusi
mashoga
wa
kukupia
hao
Ni
wa
kuwaangalia
Wako
wale
u
hali
gani
Wanakuja
kuchungulia
owaombe
Samahani
uwakomeshe
wambea
Eti
wifi
umepika
nini
na
mimi
utanigaia
waambie
Umepika
dagaa
zenye
pili
pili
nyingi
Zinakutosha
wewe
na
na
mme
wako
Wao
watakimbia
(Harmonize)
Eeh
aiii
shemeji
tubu
ya
mmeo
Usikize
ya
fulani
na
hii
ndo
meseji
Sema
na
mmeo
usitafute
ya
jirani
Kwa
furaha
niliyo
nayo
niacheni
Nimwage
radhi
aiyoyoo
Niacheni
nimwage
Radhi
mi
nataka
nimwage
radhi
(Mpoto)
Ng'ombe
anapoita
ndama
tunasema
Kwamba
analia
kupigwa
na
kulalama
Hatujawahi
kusikia
hakika
mmpendeza
mi
Navyomfahamu
bi
harusi
Sipati
kusimulia
nimetokea
Ruvuma
chogolo,namtumbo
lindi
Mtwara
mpaka
chatoholi
nimezisikia
(Mpoto)
Sifa
binti
huyu
mola
amemjalia
Binti
hapendi
majungu
hakika
ni
Nachowaambia
ukimuazima
viatu
Na
gauni
anakuachia
bwana
harusi
Tunakupa
mke
ukaishi
naye
vyema
Nyumbani
huna
kitu
husimfiche
Mwambie
tahadhari
(Mpoto)
Ikiwezekana
mkakope
mkono
uende
Kinywani
husimpige
mateke
kisingizio
Kitu
fulani
ohh
umefanya
nini
Jana
hakuliki
mtoto
bado
mteke
Usimkomaze
kwa
ngumi
Ukishindwa
mrudishe
kwao
hajaua
huyu
(Mpoto)
Mmeo
akienda
kazini
akirudi
Salimia
wala
husikae
chini
chakula
Kumsukumia
mkaribishe
ndani
Hali
ukimjulia
muulize
za
kazini
Kwa
tabasamu
muruaa
Kisha
msindikize
bafuni
ata
kama
anapajua
Alafu
wewe
tafuta
kiti
jikoni
kimbilia
Simu
yako
meseji
ukimtumia
mwambie
Bila
wewe
chakula
hakitaingia
(Harmonize)
Eeh
aiii
shemeji
tubu
ya
mmeo
Usikize
ya
fulani
na
hii
ndo
meseji
Sema
na
mmeo
usitafute
ya
jirani
Kwa
furaha
niliyo
nayo
niacheni
Nimwage
radhi
aiyoyoo
Niacheni
nimwage
Radhi
mi
nataka
nimwage
radhi
(Mpoto)
Nawaomba
niishie
hapaa
taarishi
Hua
hafungwi
naomba
nichape
lapa
Yaliyobaki
ni
ya
makungwi
Niliowakera
samhani
kusema
ni
jukumu
Langu
nawaomba
muishi
kwa
amani
Hio
ndio
furaha
yangu
(Harmonize)
Mmmh
Ndoa
ni
kama
safari
Tuombeane
dua
atuepushe
na
shari
Sa
chini
ya
jua
aah
somo
yake
Mwari
ainuke
mama
yake
mwari
Ainuke
baba
yake
mwari
ainuke
Aje
kati
tulicheze
ngoma
kaka
Yake
mwari
ainuke
dada
yake
mwari
Ainuke
shangazi
yake
mwari
ainuke
Aje
kati
tulicheze
ngoma
(Harmonize)
Niacheni
nimwage
radhi
Mi
nataka
nimwage
radhi
Niacheni
nimwage
radhi
Niacheni
nimwage
radhi
Mi
nataka
nimwage
radhi
Attention! Feel free to leave feedback.