Lyrics Lonely - Mutoriah
Umenitesa
n'metosheka,
Roho
imezoea
Ukitoka
mi
najua,
Leo
sitatulia
Juu
kile
nafikiria,
huna
idea
Na
yale
napitia,
I
know
you
know
I
watch
you
put
on
makeup
Standing
by
the
mirror
Your
vibration
is
familiar
Yeah,
it's
a
trigger
Nakumbuka
ukiweza
Kunifurahia
I
wish
you
would
stay
But
I
know
you
moved
on
Nakujua
tena
sana
Nikikuona
najua
kile
unawaza
And
you
know
Naeza
jua
ukidanganya
So
I
find
it
so
confusing
when
you
lie
love
It
gets
so
lonely
Usiku
utanipata
na
mawazo
You
say
you
love
me
But
najua
uliniachanga
kitambo
Najua
uliniachanga
kitambo
Nimezeeka,
so
sitakasirika
Nimeona
ya
dunia,
sitalipishia
Ukitenda
utatendwa
Kwanza
na
unayempenda
Binadamu
akiumia,
bado
atarudia
Nakujua
tena
sana
Nikikuona
najua
kile
unawaza
And
you
know
Naeza
jua
ukidanganya
So
I
find
it
so
confusing
when
you
lie
love
It
gets
so
lonely
Usiku
utanipata
na
mawazo
You
say
you
love
me
But
najua
uliniachanga
kitambo
Najua
uliniachanga
kitambo
It
gets
so
lonely
Usiku
utanipata
na
mawazo
You
say
you
love
me
But
najua
uliniachanga
kitambo
Najua
ushaamua
mi
si
wako
Attention! Feel free to leave feedback.