Lyrics Si Rahisi - Nadia Mukami
Tarara
tarara
taraaa
Ndoto
niote
eti
mimi
napepea
Maombi
mniombe
muziki
nizidi
bombea
Hutoweza
kurekodi
kama
huna
cha
kuwapea
Niuze
sura
nione
kama
watainunua
Si
rahisi
kwenye
runinga
na
redio
zote
nivume
Si
rahisi
kwenye
Twitter
waseme
kaNadia
katambe
Si
rahisi
mablogger
chocha
huyu
ndo
mwandishi
Si
rahisi...
si
rahisiii
Nilifunga
safari
eti
naanza
kuimba
Nikajiona
wa
kusifiwa
kama
Papa
Wemba
Ngoma
zangu
zivuke
border
mpaka
kule
Pemba
Ujumbe
nao
usikike
kote
mpaka
na
Wakamba
Ilinivunja
moyo
waliponifukuza
studio
nitoke
Wakanidharau
familia
ndugu
wa
toka
nitoke
Promoter
bandia
kunipa
show
kisha
jioni
apotee
Producer
chocha
niimbe
Lingala,
nazali
nayo
mboote
(Nayo
mbote)
Si
rahisi
kwenye
runinga
na
redio
zote
nivume
Si
rahisi
kwenye
Twitter
waseme
kaNadia
katambe
Si
rahisi
mablogger
chocha
huyu
ndo
mwandishi
Si
rahisi...
si
rahisiii
Kwenye
industry
wanatuchesa,
controversy
zilete
pesa
Eti
kaNadia
naye
yule,
mara
nimetemwa
vilevile
Wengine
wavume
bila
talanta,
kwenye
picha
tako
wamekamatwa
Jina
tupu
walishapata,
je
huu
ni
ungwana?
Eti
muziki
kizungumkuti
Ikinishinda
niipige
buti
Ama
nianze
kucheza
isukuti
wee
Tena
yao
beef
sijazoeaga
Mi
ni
mpole
wananianzaga
Eti
sanaa
nianze
kuaga
Haya
maneno
zilizaga
Si
rahisi
kwenye
runinga
na
redio
zote
nivume
Si
rahisi
kwenye
Twitter
waseme
kaNadia
katambe
Si
rahisi
mablogger
chocha
huyu
ndo
mwandishi
Si
rahisi...
si
rahisiii
Ata
nikifa
leo
niwe
wa
kusifiwa
Niliishi
kutamani
niwe
kama
Miriam
Makebaaa
Si
rahisi
nisikike,
si
rahisi
nivume,
si
rahisi
nikubalike
Si
rahisi
kwenye
runinga
na
redio
zote
nivume
Si
rahisi
kwenye
Twitter
waseme
kaNadia
katambe
Si
rahisi
mablogger
chocha
huyu
ndo
mwandishi
Si
rahisi...
si
rahisiii
Si
rahisi
kwenye
runinga
na
redio
zote
nivume
Si
rahisi
kwenye
Twitter
waseme
kaNadia
katambe
Si
rahisi
mablogger
chocha
huyu
ndo
mwandishi
Si
rahisi...
si
rahisiii
yeah
Sherry
yeah,
sherry
yeah,
si
rahisi
yeah
Si
rahisi
yeah
Attention! Feel free to leave feedback.