Lyrics Lola - Nadia Mukami
Nadia
Nashangaa
na
hizi
pesa,
Nilijikuta
tu
kivyangu
Ati
mwanzoni
ulinipenda,
Akabisha
shetani
huku
kwetu
Lakini
mbona
hukuniambia,
Ya
siri,
nijulie
mitandaoni
Ukweli
ukaukimbia,
Ati
mhusika
ndo
shetani
Ama
ni
kiki
unatafutia,
Ndo
maombi
yangu
moyoni
Ama
ni
showbiz
na
hujaniambia,
Nisijitese
akilini
Ona
tulianza
bila
mapeni,
Na
leo
tuna
magari
Nimekosa
nini
jameni,
Si
ulitaka
aliye
maarufu
Uwape
stori
magazeti,
Matusi
pande
mbili
Kipenzi
cha
watu
jamani,
Walitupenda
sote
wawili,
ila
Lola,
yamemwagika
hayazoleki
Lola(lola)
Lola,
yamemwagika
hayazoleki
Lola,
yamemwagika
basi.
Lola,
sasa
umeniacha
na
nani?
Lola,
rudi
kwangu
mimi
Lola,
sasa
umeniacha
na
nani
mama
yoh?
Lola,
rudi
kwangu
mimi
Masauti
Mimi
nimeunguka
Sina
hata
haja
kukutazama
kwenye
sura
Nilo
yafichaa
Mwangu
moyoni,
yote
unayajua
Naona
aibu
Mpaka
kwa
marafiki
zangu
Imekuwa
chungu
Kwa
tamaa
zangu
Nadia
ulinipendaga
Na
mapenzi
yalinoga
Me
ndio
nilikumwaga
Nakuomba
msamaha
wangu
mama
Basi
usiniadhibu
Kwa
kosa
tayari
nimekubali
Acha
kunihusudu
Kila
mahali
ni
mimi
mitandaoni
Kugombana
sio
suluhisho
mama
Aaah,
aaah
Tusizidi
kuvunja
mwiko
mama
Wa
mapenzi
yetu
mi
na
we
Lola,
sasa
unaniacha
na
nani?
Lola,
rudi
kwangu
mimi
Lola,
sasa
unaniacha
na
nani
mama
yoh?
Lola,
rudi
kwangu
mimi(mama
yoh)
Lola,
yamemwagika
hayazoleki
Lola(lola)
Lola,
yamemwagika
hayazoleki
Lola,
yamemwagika
baba
Masauti
Umefanya
pombe
kuwa
pacha
wangu
Kichwa
ni
mawazo
Kichwani
mwangu
oooh
Na
si
unajua,
nakupenda
wewe
iyee
Hayazoleki
hayazoleki
Wowooooo...
Nadia,
Nadia
wewe
Nakupenda
oooh...
Attention! Feel free to leave feedback.