Naiboi - Watu Wake Lyrics

Lyrics Watu Wake - Naiboi



Mungu na watu wake
Haachi watu wake.
Mother fulani, amekopa pesa fulani
Achangishe alishe watoto wa jirani
Yeeh, ouuh
Buda fulani, ametoka base fulani
Na worry yake ni asibambwe na maaskari
(Some are protected some are not)
Kuna Ras fulani amekamatwa na mume wa fulani
Excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi
Randa inapigwa safi bro
So what is love
Question marks when its right there on your face
So what is love
Question marks when its right there on your face
Oooh watu wake
Haachi watu wake
Mungu na watu wake
Haachi watu wake
(Sir Jah)
Nigaa fulani, amevuka na kashamba ka fulani
Na anakana mbele ya nchi hadharani
Manzi fulani, amekula fare fulani
Na vile boychild amejipanga hapa nyumbani
(Tusidanganyane)
Najua kura fulani, zitapigwa na watu fulani
Matokeo itaonyesha mtu fulani
(Nikama hatuna say no more)



Writer(s): Michael Claver, Michael Kennedy


Naiboi - Watu wake
Album Watu wake
date of release
24-06-2020




Attention! Feel free to leave feedback.