Nandy - Bado Lyrics

Lyrics Bado - Nandy



Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa
Sio ishu ni hatari usije ukayasikia
Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia
Taratibu bwana darling usije ukayasikia
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we me nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyagaa
Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo
Baba ubaya usije ni bwagaa
Nakupenda
(Bado)
Nakupenda bwana
(Bado)
Laazizi
(Bado)
Usininyime utamu
(Bado)
Nakupenda
(Bado)
Nakupenda bwana
(Bado)
Ooh wangu mimi
(Bado)
Yeah yeah yeah
(Bado)
Ahhh, ahhh
Mh
Hutumii vumbi oh bwana
Samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng'ari ng'ari habari zinapatikana
Na maneno ndo mengi sana, usishike moja tazama
Nipe vya asali kachumbari pilipili kwa sana
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we mi nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyaga
Utanipa donda kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo
Baba ubaya usije ni bwaga
Nakupenda
(Bado)
Nakupenda bwana
(Bado)
Laazizi
(Bado)
Usininyime utamu
(Bado)
Nakupenda
(Bado)
Nakupenda bwana
(Bado)
Ooh wangu mimi
(Bado)
Yeah yeah yeah
(Bado)
Yeah yeah yeah
Hutumii vumbi we bwana
Samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng'ari ng'ari
Habari zinapatikana
The African princess



Writer(s): Nandy


Nandy - The African Princess
Album The African Princess
date of release
10-07-2020




Attention! Feel free to leave feedback.