Nedy Music - Homa Ya jiji Lyrics

Lyrics Homa Ya jiji - Nedy Music



Katoto kako-mukide
Kwa body Yemi Alade
Kitandani ni shikide
Nishike nikushike weee...
Mi moyo wangu taabani kwako
Huwezi maisha sihami kwako
Nivute kotekote utokapo
Ukisema wewe hakuna mwingine
Mi moyo wangu taabani kwako
Huwezi maisha sihami kwako
Nivute kotekote utokapo
Ukisema wewe hakuna mwingine
Vya ndani ananata kinoma.
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
Vya ndani ananata kinoma.
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
(Ahaaa! mmmh)
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
(Ahaaa! mmmh)
Unanipa vitu vya moto (aaah)
Kwako nimepoa (aaah)
Unanipa mi vya moto
Eh eh h...
Me Love unachofanya, unakoleza
Me hata dira nsha poteza
Chochote kwangu we ongeza
(Yeeee eh ehh)
Usipende kiki-kiki, ujue penzi utapoteza
Wana-fikiki, mbele wataja jikweza
Kiki-kiki, ujue penzi utapoteza
Wana-fikiki, mbele wataja jikweza
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
(Ahaa! Ahaa! Aahaaa!!!)
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
Vya ndani ananata kinoma
Nisifa kwenye mechi utakoma
Akizungusha mguu Maradona
(Aha! Ahaa Ahaaa aaa! Aaaah)
Unanipa vitu vya moto
(Aaahhha)
Kwako nimepoa
(Aaahhha)
Unanipa mi vya moto
Goma la jiji umeliwasha
Vuta nkuvute kitu kimenasa
Goma la jiji umeliwasha
Vuta nkuvute, kimenasa
Goma la jiji umeliwasha
Vuta nkuvute, Tumenasa
Goma la jiji umeliwasha
Unanipa vitu vya moto (Aaah)
Kwako nimepoa (Aaah)
Goma la jiji umeliwasha,
Unanipa vitu vya moto (Aaah)
Kwako nimepoa (Aaah)
Goma la jiji umeliwasha
Unanipa vitu vya moto (Aaah)
Kwako nimepoa (Aaah)
Gogo On The Beats



Writer(s): Nedy


Nedy Music - Homa Ya jiji
Album Homa Ya jiji
date of release
08-08-2018




Attention! Feel free to leave feedback.