Lyrics Birthday Song - Nviiri The Storyteller
Leo
siku,
leo
siku,
leo,
mmh
Leo
siku,
leo
siku,
leo,
yeah,
yeah
Leo
siku
yetu
Leo
siku
yako
ya
kuzaliwa
Kula
na
kunywa
na
kusazamaa
Leo
niiteni
mheshimiwa
Pamba
freshi,
marashi
nimejaa,
ah
Ma-hater
wako
pale
kwenye
kona
Macho
pembeni
wakitazama
Ila
usiogope,
choma
picha
Kesi
baadaye,
hesabu
lawama
Don't
be
crying
on
your
birthday,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Stay
away
from
bad
vibes
and
all
the
drama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Go
ahead
and
dip
it
low,
drop
it
low
for
your
homeboy,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Do
what
you
wanna
and
be
who
you
wanna
Forgive
and
let
the
karma,
karma
Ma-nigga
wangu
wako
hapa
nyuma
Ukileta
shida
utapigwa
foul
Wengine
mavela,
wengine
jaba
Wengine
zote
wamezichanganya
Ma-manzi
wenyu
wanatusorora
Ukikaa
vibaya
tunapita
nao
Nviiri,
baby,
bado
Storyteller
Universal
charger,
striker,
number
nine
Don't
be
crying
on
your
birthday,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Stay
away
from
bad
vibes
and
all
the
drama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Go
ahead
and
dip
it
low,
drop
it
low
for
your
homeboy,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Do
what
you
wanna
and
be
who
you
wanna
Forgive
and
let
the
karma,
karma
Yo,
leo
katashika
ni
birthday
(Woo!)
Umejipuliza
marashi,
babe
(Woo!)
Waresh
watajipa,
I
must
say
Bash
inafaa
ianze
afte
(Ah!)
Mwendo
yetu,
aste
aste
Hakuna
teke,
usini-rush,
wait
Mbogi
wanawika
wako
thirsty
Nviiri
ashafika
na
liquor
na
ashtray
(Ah)
Ambia
soldier
nita-buy
chai
(What?)
Acheze
chini,
chocha
haifai
(Ah!)
Bien
nasikia
ushawahi
ngwai?
We
finna
kick
it
like
Muay
Thai
(Omollo!)
Oh
my,
oh,
my
guy
Niko
high
right
now,
why
lie?
Acha
niingie
IG
saa
hii
saa
hii
Wapi
hio
password
ya
wi-fi?
(Ah)
Sikufichi,
warazi
pia
they
be
feelin'
it
on
the
low
(Woo!)
Kiki,
'tutaki,
peleka
udaku
bongo,
bro
(Yes!)
Mziki,
tunazitoka,
utadhani
ni
ndombolo
Is
vipi?
Nawacheki
kama
ditch
na
mongolo
Kwa
mikono,
nimeshikilia
tumbler
(Woo)
Gari
nimekuja
nayo
pia
ni
Wrangler
(Uh)
Game
chafu
kama
nywele
ikona
dandruff
(Yes)
No
wonder
mi
nafuatwa
na
kina
Sandra
(Ah)
Akina
Njoro
pale
wako
juu
ya
handas
Hii
party,
jo,
kuna
vile
inabamba
Birthday
boy,
nimewapigia
pamba
Tunachanganya
mugithi
na
ohangla
Eh,
omera,
okinyal
chanda
Tuko
Ronga,
nimeshikilia
number
Kenya,
Uganda,
TZ
to
Rwanda
Rada
ni
blanda,
inakata
ka
panga
Mamacita,
napenda
hio
sianda
(Uh)
Haina
haja
ushinde
uki-meander
(Ah)
Kuja
nikununulie
shamba
Birthday
boy,
lazima
kujigamba
(Iyee!)
Jones
Don't
be
crying
on
your
birthday,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Stay
away
from
bad
vibes
and
all
the
drama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Go
ahead
and
dip
it
low,
drop
it
low
for
your
homeboy,
mama
(Tell
them
it's
your
birthday)
Do
what
you
wanna
and
be
who
you
wanna
Forgive
and
let
the
karma,
karma
Attention! Feel free to leave feedback.