OMG - Uongo na Umbea Lyrics

Lyrics Uongo na Umbea - OMG



Yea yea (bana)... switch
Hii ni kwa wana wote waongo waongo na wambea
(Wambea wambea wambea)
Let's get in
Aaah ...tangu naanza kua nijijue so nkianza jiepusha na umbea(na umbea)
Na jopo la washkaj walozingua kisa tu walinijua so nkaona maisha siyo fair(sio fair)
Kukimbizana na mr on air
Huku napambana walishaniotea
Sa wengi wanachana vya maana tofauti sana na jana kipindi na fanya pana ni compare huh. nah'
Nambie washkaji so msafi nipo solo
Na gari sina mwendokasi niko dolo
Ndo maana hata babes wakali hawanifollow
Au nina kasoro
Gat to know it's like
Mi nataka ukalipie pia story hizi
Naandika mavitu yanatoka kichwani sio ya wizi
Halafu sina muda maana kila siku niko busy
Siwez ata kulala nyumbani mama ananiona chizi
Mshua ndo aniona popo giza
Main chick mara ooh. utaniliza
Napiga chops kama local piza
Wananiuliza shee!
Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Hatu roll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Kwa sababu moja tu ya uongo na umbea
Nikichomoka maskani najiona nipo vitani
Na unaweza kuona ni utani maana ata vita ni fani
Tangu tuenda kwa bani zile CD tunaburn
Halafu tunarudi nyumbani hakuna CD play
Leo nimetoka ata nigger anataka playfair how fair shopping zang ni mayfair
Nikishtuka chai zangu ni cocktail
Niko na machizi so please i don't care shit
Mbona hatukuoni now you block nowadays
Em' niggers what you about games
Tryna overtakin' mcees
Kill the verse now rap is crazy
Wao wanaona am fakin'
Mimi nimejiona am strengthen
Wakiongea shit about it siwaskii coz najua
Keep aside am wealth .'em
Aah yah!
Mic check one four yani bounce ni bounce ye utawaskia
Na mtoto mkali kala chepe blauz chini vans ye utawaskia
Kitambo nipo street sitoki kama scracth kwenda somewhere ye utawaskia
No no boy you know mi chafu niko puff kuna brown chick aah .yea!
Na kama ipo seat kwa wanaoweza kuchana nitawaficha sana woooh'
Na kama ingekuwa beat wakashindwa kuchana watazomewa sana woooh'
Nakamnaishi street ukashindwa kustreet na ma real niggers ambao tunakeep it real na kuanza kucheka cheka kutwa unashinda kuungama kama gay nigger shut nigger
Maana
Kuimba kama mimi pia huwezi yeh
Ukiambiwa uimbe nyimbo zangu mimi pia huwez yeh
Ukiambiwa ufanye kazi unachagua kazi ngumu pia huwez yeh
Unachonishangaza mbaka kuomba Mungu pia huwezi
Yah nigger can't be serious man




OMG - Uongo na Umbea
Album Uongo na Umbea
date of release
10-07-2017




Attention! Feel free to leave feedback.