Octopizzo - Karata$i Lyrics

Lyrics Karata$i - Octopizzo



Kabla pate job, wanadai karatasi
Contacts zangu zote pia ni za karatasi
Doh yenyewe nikipata ni ya karatasi
Toilet paper pale choo pia ni ya karatasi
Murder scene Hiroshima Nagasaki
Stage ukiniona nikipiga show, karatasi
CEO kwa Offe karatasi
Chokoraa pale street daily pia karatasi
Buda acha karatasi
Ndo natoka Embakasi
Rada saka karatasi
Siezi kosa karatasi
Mula imetubrain wash kila kitu paper work
Wengi wetu tuna experience lakini bila paper luck
Bonga mbaya pigwa stapler, paper punch
Na mtaani huwezi mshow sawa na chipo mwitu, paper lunch
Mashit, bin flices, era za paper bag
Usitoke daro kabla hujamaliza hizo paper man
Professor aka Mr Ohanga huwezi graduate kwa hii class
Kabla hujajaza hizo paper son
Kijana wacha wasiwasi
Hapa sio sarakasi
Wanataka karatasi
Siwezi kosa karatasi



Writer(s): Henry Ohanga


Octopizzo - Jungle Fever
Album Jungle Fever
date of release
20-11-2020




Attention! Feel free to leave feedback.