Lyrics Sitaki - Octopizzo
                                                Sitaki, 
                                                ma 
                                                moria 
                                                wa 
                                                kuchachisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ngoma 
                                                za 
                                                kubahatisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                photographer 
                                                anachoma 
                                                picha
 
                                    
                                
                                                Sitaki 
                                                Uongo 
                                                za 
                                                makanisa
 
                                    
                                
                                                Siku 
                                                ya 
                                                valentines 
                                                ndio 
                                                mi 
                                                hua 
                                                naua 
                                                ua
 
                                    
                                
                                                Niko 
                                                sure 
                                                sure 
                                                ka 
                                                hauka 
                                                rada 
                                                bana 
                                                manze 
                                                kua 
                                                sure
 
                                    
                                
                                                Germany 
                                                usa 
                                                ni 
                                                tour 
                                                tour
 
                                    
                                
                                                Jua 
                                                jua 
                                                imechoma 
                                                lakini 
                                                nikidrip 
                                                naua 
                                                jua
 
                                    
                                
                                                Shimo 
                                                mbili 
                                                na 
                                                sibongi 
                                                pua 
                                                pua
 
                                    
                                
                                                Ghetto 
                                                king 
                                                maskini 
                                                wanadai 
                                                mi 
                                                ni 
                                                poor 
                                                poo-ur
 
                                    
                                
                                                Msupa 
                                                kabla 
                                                utoke 
                                                Manze 
                                                kua 
                                                sure
 
                                    
                                
                                                Vua 
                                                vua 
                                                Cheza 
                                                na 
                                                Don 
                                                then 
                                                fua 
                                                fua
 
                                    
                                
                                                Saloonist 
                                                venye 
                                                nasonga
 
                                    
                                
                                                Nadinyaga 
                                                ma 
                                                points 
                                                nikibonga
 
                                    
                                
                                                Ambia 
                                                Iola 
                                                ni 
                                                pizzoDe 
                                                na 
                                                anadai
 
                                    
                                
                                                Kuna 
                                                venye 
                                                ako 
                                                na 
                                                tiba 
                                                ya 
                                                Ile 
                                                kidonda
 
                                    
                                
                                                Staki 
                                                friday 
                                                manze 
                                                what 
                                                you 
                                                up 
                                                to?
 
                                    
                                
                                                Staki 
                                                nichukue 
                                                cab 
                                                utalipa 
                                                boo
 
                                    
                                
                                                Stak! 
                                                backstage 
                                                ka 
                                                unakaa 
                                                unafika 
                                                bei
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                Backstage 
                                                nina 
                                                Wasupa 
                                                wanabonga 
                                                shen'g
 
                                    
                                
                                                Gang! 
                                                Gang!
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ma 
                                                moria 
                                                wa 
                                                kuchachisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ngoma 
                                                za 
                                                kubahatisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki,photographer 
                                                anachoma 
                                                picha
 
                                    
                                
                                                Sitaki 
                                                Uongo 
                                                za 
                                                makanisa
 
                                    
                                
                                                Staki 
                                                staki 
                                                staki,Kwa 
                                                hizi 
                                                streets 
                                                PizzoDe
 
                                    
                                
                                                Wanadai 
                                                bado 
                                                mi 
                                                ndio 
                                                Starking
 
                                    
                                
                                                Barz 
                                                on 
                                                barz 
                                                coz 
                                                wameshinda 
                                                wakinishtaki
 
                                    
                                
                                                Kamiti 
                                                gang 
                                                utajiteta 
                                                ukiwa 
                                                wapi
 
                                    
                                
                                                Walami, 
                                                wanadai 
                                                mbona 
                                                nawapenda
 
                                    
                                
                                                Wamesahau 
                                                hao 
                                                ndio 
                                                walipatia 
                                                Uhuru 
                                                Kenya-tta
 
                                    
                                
                                                Nineteen 
                                                sixty 
                                                free
 
                                    
                                
                                                Hadi 
                                                leo 
                                                still 
                                                uski 
                                                bado 
                                                sijawai 
                                                feel 
                                                freedom 
                                                kwa 
                                                hizi 
                                                streets
 
                                    
                                
                                                Nineteen 
                                                sixty 
                                                threesome
 
                                    
                                
                                                Ghetto 
                                                University 
                                                intelect 
                                                si 
                                                degree
 
                                    
                                
                                                Mfugwa 
                                                mtumwa 
                                                Tangu 
                                                handshake 
                                                wengi 
                                                kuna
 
                                    
                                
                                                Venye 
                                                waliachaga 
                                                kukula 
                                                chungwa
 
                                    
                                
                                                Mkubwa 
                                                sukumwa 
                                                lakini 
                                                ukiingia 
                                                area 
                                                zangu 
                                                bana
 
                                    
                                
                                                Itabidi 
                                                umecheza 
                                                ndongo
 
                                    
                                
                                                Niko 
                                                njaa 
                                                man, 
                                                Nanikicheki 
                                                fiti 
                                                food 
                                                imeJapan 
                                                ni
 
                                    
                                
                                                Chicken 
                                                teriyaki
 
                                    
                                
                                                Staki! 
                                                kunishika 
                                                ju 
                                                nduku
 
                                    
                                
                                                Staki! 
                                                wasani 
                                                hawapigi 
                                                luku
 
                                    
                                
                                                Staki! 
                                                kuletewa 
                                                ugali 
                                                bila 
                                                supu
 
                                    
                                
                                                Staki 
                                                hizi 
                                                siasa 
                                                za 
                                                mangata
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ma 
                                                moria 
                                                wa 
                                                kuchachisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ngoma 
                                                za 
                                                kubahatisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki,photographer 
                                                anachoma 
                                                picha
 
                                    
                                
                                                Sitaki 
                                                Uongo 
                                                za 
                                                makanisa
 
                                    
                                
                                                Soma 
                                                soma 
                                                ni 
                                                pizzoDe 
                                                na 
                                                ngoma 
                                                noma
 
                                    
                                
                                                Ngoja 
                                                ngoja 
                                                Kuna 
                                                beef 
                                                ni 
                                                nyama 
                                                choma
 
                                    
                                
                                                ICU 
                                                washanicoma
 
                                    
                                
                                                Chebukati 
                                                ana 
                                                sweat 
                                                na 
                                                bado 
                                                hatutoki 
                                                bomas
 
                                    
                                
                                                Mapenzi 
                                                maua
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                bado 
                                                yaua
 
                                    
                                
                                                Niko 
                                                watamu 
                                                mtuangu 
                                                nakula 
                                                halua
 
                                    
                                
                                                Kelele 
                                                zingine 
                                                apana 
                                                tambua
 
                                    
                                
                                                Kuja 
                                                8town 
                                                watakusho 
                                                Pizzo 
                                                ni 
                                                sumbua
 
                                    
                                
                                                Daily 
                                                ni 
                                                gomba 
                                                sober
 
                                    
                                
                                                Roots 
                                                na 
                                                culture 
                                                doba
 
                                    
                                
                                                Piga 
                                                Magoti 
                                                Omba
 
                                    
                                
                                                P.l 
                                                double 
                                                    Z 
                                                God 
                                                MC
 
                                    
                                
                                                Always 
                                                right 
                                                even 
                                                though 
                                                mi 
                                                lefty
 
                                    
                                
                                                Na 
                                                Niko 
                                                Lowkey!
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ma 
                                                moria 
                                                wa 
                                                kuchachisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki, 
                                                ngoma 
                                                za 
                                                kubahatisha
 
                                    
                                
                                                Sitaki,photographer 
                                                anachoma 
                                                picha
 
                                    
                                
                                                Sitaki 
                                                Uongo 
                                                za 
                                                makanisa
 
                                    
                                
                                                Tukipatana 
                                                wewe 
                                                usema 
                                                una 
                                                harakaa
 
                                    
                                
                                                Ya 
                                                nini 
                                                unitese 
                                                bila 
                                                sababu
 
                                    
                                
                                                Fikiria 
                                                kwa 
                                                makini 
                                                ninayo 
                                                sema 
                                                mama
 
                                    
                                
                                                Usiniweke 
                                                kwa 
                                                hali 
                                                Mpenzi 
                                                wee
 
                                    
                                
                                                Aye 
                                                mama 
                                                Ye!
 
                                    
                                 
                            1 Good Morning Africa
2 Sitaki
3 Swaga Za Wapi
4 Zambe
5 Plus One
6 Jaber
7 Nataka
8 Lela
9 Karata$i
10 Maselina
11 Tamaa
12 Dungu
13 Ringa
14 City Kabanas
15 Kibanda
Attention! Feel free to leave feedback.
                 
                                                         
                                                         
                                                         
                                                        