Lyrics Ndagushima - Ommy Dimpoz
Basi
unavoringaringa
unanichanya
we,
Kama
teja
natingatinga
penzi
lako
starehe,
Nshamaliza
waganga
wakunga,
ili
usiniache
we,
Barua
nishampa
mshenga
akifika
ipokee
baby,
Kote
nimeshapita
ila
wewe
ndo
unifaaye,
Ongeza
ulichonipa
mahaba
yanivae,,
You
are
my
heart
my
pain
my
gain
I
don
lie...
Coz
I'm
loving
u
baby...
Baby
baby
baby,
Ndagushima
chatum,
oh
bado
natafuta
ili
nile
nawe,
Roho
yangu
itulie
mimi
nawewe,
Kidogo
mtimakacholeta
minawe,
Moyo
wangu
umependapenda
mahaba
niongezee,
Majaribu
nashindashinda
sitamani
mwingine,
Abiria
mzigo
nachunga
penzi
lisinipotee,
Nishaonja
utamu
was
tunda
nipe
tena
nikolee
baby,...
Rpt
Attention! Feel free to leave feedback.