Otile Brown - Aje Anione Lyrics

Lyrics Aje Anione - Otile Brown



Oooh,
Ooh baby,
Naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby,
Mmmh,
Naamini kila binadamu ana madhaifu yake,
Ooh baby,
Mmmh,
Nami yangu nayajua na nakabiliana nayo,
Ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe
Tena najuta, najuta eeh,
Aah, yalonikuta,
Kazi ya ibilisi mama,
Tena usiku silali,
Labda nilewe chakari,
Ama nilale mama na picha yako kifuani,
Ndo nijisuku nami je unaniwaza
Mmh baby,
Ama tamaa kwangu ulishakata,
Aje anione, aje akanione,
Aje anione,
Aje anione ne ne ne ne
Wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda,
Mi mahututi,
Mi mahututi
Wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana,
Na endapo utachelewa mama,
Mi maiti,
Eeeh,
Tena najuta, najuta eeh,
(Mamaa)
Yalonikuta,
Kazi ya ibilisi mama,
Tena usiku silali,
Labda nilewe chakari,
Ama nilale (mama) na picha yako kifuani,
Ndo nijisuku nami,
Je unaniwaza,
Mmh, baby,
Ama tamaa kwangu ulishakata,
Aje anione, aje akanione,
Aje anione,
Aje anione ne ne ne.



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - Aje Anione
Album Aje Anione
date of release
15-02-2018



Attention! Feel free to leave feedback.