Otile Brown - Basi Lyrics

Lyrics Basi - Otile Brown




Nahisi siko sawasawa kunakitu kinakosa
Kumbe leo sijamuona
(I wonder if you feel the same way)
Basi naugua na siumwi
Chakula kooni hakipiti na silali
Hata kwa dawa za usingizi
(I wonder if you feel the same way)
Na macho yangu yanatamani kukuona
Nafsi yangu inakukosa sana
Na moyo wangu najawa hofu na uwoga
Mali yangu wasije wakanipora
Na moyoni nakosa Amani sina
Fikra zangu zinakwenda mbali kabisa
Ama jiji lishaa ninyang'anya we wanguIla niwie radhi kama
Nakuhukumu vibaya elewa yote kisa
Kisa mama
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie
Maana nakupenda mpaka basi ujue
Ujue mama, nakupenda mpaka basi
Penzi langu unanihifadhia,
Heri ungekuwa sincere
Oh Je unaniwazanga,
Maana huku nakufikiria
Mi nakupenda kipimo sina,
Ni bora uwe macho
Usije niletea walosaz
Kukupenda jukumu langu, sheria kuu
Kwenye katiba ya penzi langu
Je uko uliko uko vizuri?
Mbona simu hushiki?
Hivi uko na nani, mnafanya nini?
Wasi wasi ninao
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie
Maana nakupenda mpaka basi (Ujue)
Ujue mama, nakupenda mpaka basi
Waadhi na wasaha ulionipa nazingatiaIla nawe usije jisahau,
Ukashawishiwa
Na watanashati na washika dau
Ukanisahau
Sije nisusa utaniacha na mengi
Bana nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama
Ooh mimi nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama
Ukinizuga nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama
Ukinitenda mama nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali chunga usiniumize
Tunatoka mbali nyuma ukumbuke
Tunatoka mbali usiniache nijifie
Maana nakupenda mpaka basi ujue ujue ujue Ujue ujue Ujue
Ujue mama, nakupenda mpaka basi



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - Basi
Album Basi
date of release
03-06-2016

1 Basi




Attention! Feel free to leave feedback.