Otile Brown - DeJavu Lyrics

Lyrics DeJavu - Otile Brown




Hicho kioo haukiitaji, na hizo make-up sio lazima
Unachovaa haijalishi
Oh, Machoni mwangu unakamilka
Nakupenda sina mfano
Zaidi ya hizo nguo uvaazo
Vipodozi na manukato
Nyele na hata pia rangi yako
Nacho hitaji penzi lako na nimeridhika
Na hao wapinzani wako hawana hathari yoyote
Oh, oh, usikose usingizi
Niamini nikisema nakesha kazini
Fikra zako zisiende mbali
Niko jembe mwenzio
Maana wewe ni yule yule, yuuule
Nisipokuona naugua, aah
Nakupenda vile vile, viiile
Penzi langu halijapungua, aah
Bado nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you
Bado nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you
Na asili yako siwezi ieleza
Mi naona wengi ila hamfanani
Wewe hauku umbwa ulitengenezwa
Kwako natua nikafanya makazi
Nao kando yako bado unajihisi
Na ninajivunia, aah
Na wengine mimi sitaki wala sijawai fikiria
Na ndani ya hilo rinda unapendeza
Ukipita shingo wanapinda
Ila hii ngoma naijua bora
Sababu ilonifanya natia fora
Wewe ni yule yule, yuuule
Nisipokuona naugua, aah
Nakupenda vile vile, viiile
Penzi langu halijapungua, aah
Bado nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you
Kweli nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you, eeh
Eeh, ooh
Nakupenda sina mfano (Sina mfano)
Zaidi ya hizo nguo uvaazo, eeh
Vipodozi na manukato
Nyele na hata pia rangi yako
Nachohitaji penzi lako na nimeridhika
Nimeridhika, mwenzio we-eeh, oh, mwenzio we-eeh
Na hapaja haribika jambo
Leo hii na zamani
Uzee hauja kukithiri, mpenzi we
Bado nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu (juu juu)
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you
Kweli nikikuona nahisi dejavu
Roho unairusha juu juu
Oh, magoti yanaisha nguvu
Oh, boo boo I love you



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown - DeJavu
Album DeJavu
date of release
03-06-2016

1 DeJavu




Attention! Feel free to leave feedback.