Lyrics Vibaya - Otile Brown
Kinachohitaji
moyo
Hata
akili
haiwezi
baini
Cha
mtima
cha
moyo
Hata
kama
kibaya
Kifaacho
mtu
chake
Kwako
sisikii
wala
siambiliki
Nakupenda
kipimo
sina
Kwako
mi
hoi
chakari
Nalewa
Henessy
Moyo
wangu
unao
Kwako
ninatua
kafanya
makazi,
yeah
yeah
ooh
Napenda
mapaka
mjini
Wakanirubuni
Nusura
wanitoe
roho
Oooh
upendo
si
kutamani,yeah
yeah
ooh
Ila
kaja
toto
la
moto
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
Haters
tunawanyoosha
vinyoosho
Ukaja
toto
la
moto
(Moto)
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
(Mtoto)
Insta
tunawanyoosha
vinyoosho
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
(Vicky
pon
dis)
Toto
ulivyosimama
umenikaa
Ooh
nakuwaza
kila
saa
Unavyobana
unaachia,
bana
unaachia
Kisha
slow
it
down
ghafla
unatia
gear
(toto
mi
hoi)
Unavyobana
unaachia,
bana
unaachia
Kisha
slow
it
down
ghafla
unatia
gear
(toto
mi
hoi)
Toto
la
moto
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
Haters
tunawanyoosha
vinyoosho
Ukaja
toto
la
moto
(Moto)
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
(Mtoto)
Insta
tunawanyoosha
vinyoosho
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
![Otile Brown - Just in Love](https://pic.Lyrhub.com/img/d/k/g/x/qby25oxgkd.jpg)
1 Juice
2 Nabayet
3 Acha Waseme
4 Baby Love
5 Crush
6 Hi
7 Kenyan Girl
8 Kistaarabu
9 Mapenzi Hisia
10 Pakate
11 Shujaa Wako
12 Siku Yetu
13 Vera
14 Vibaya
15 Yule Mbaya
16 The Way You Are
17 Aiyana
18 Hit & Run
19 Nobody
20 Leilah
21 Dala Dala
22 Niende
23 Nataka
24 Alivyonipenda
25 Aje Anione
26 Regina
27 Samantha
28 Chaguo La Moyo
29 Niseme Nawe
30 Amor
31 Zichune
32 Pole Sana
33 Tamu Sana
34 Wine
35 Dusuma
36 Quarantine
37 Nitulie
38 This Kind of Love
39 Watoto Na Pombe
Attention! Feel free to leave feedback.