Otile Brown feat. King Kaka - Alivyonipenda Lyrics

Lyrics Alivyonipenda - King Kaka , Otile Brown



Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
OTILE BROWN
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii,
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
Inahitaji zaidi
Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu...
Type yangu, ni yule anaenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo
Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume
Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
KING KAKA
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless
Nikimuona nasinzia ka Nameless
Uko? Ntakuja kalesa
Love ilikuwa genuine than leather
Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo
Wakati stima kwangu was candle
Wakati birthday yake haikuwa na keki
Wakati nikisota alinipiga jeki
Nikachanganyikiwa na rangi ya thao
Yangu ikafunguka club ndio makao
Leo Macha kesho coast tunakacha hata
Tulizi document snapchat
Niko empty nammiss kishenzi
Alinipa ya kweli mapenzi
Lonely mamiss alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga



Writer(s): Otile Brown


Otile Brown feat. King Kaka - Alivyonipenda
Album Alivyonipenda
date of release
03-06-2016



Attention! Feel free to leave feedback.