P-Tah - James son Lyrics

Lyrics James son - P-Tah



EP ya tano 2021
Yeah niko thankful kuweza express hizi thoughts kwa hizi beats
Ares thank you, Big Beats
Just in case you are my case
Niko kwa high mental space bila ku blaze
Nyao za k shaka niki trace, kuepuka ugesi
Hii ganji na saka, ikawa kuwe na msako
Jua nina uwezo wa kuosa
Cos through aresss niko bless
With a million and one beats
Ubuntu tema one two
Chunning heats, tuki pick up cheques
Shika meals hebu Checki hii words stitch
Ka million man match speech skiza tapi teach with
Gems dropping nikichapa jameson chafua meza bila pesa
Bar na pandisha kuku pandisia Un doubtedly the champ is here
Vile naongeza gear pia Uki come near hanaku peer
Wanipisha njia vile nai steer
Yeah ni James son with a Lennox reach
Upper cut ya Tyson, positivity pushing ya Mysonne
Flipped a cry song nika blow up ka lypon
Doubters bye, gone ki Saigon already I con
, Lola vile imecome through, ka by pass
Inaweza enda either way ka a bipers
Elegantly matching threads, ka congo sapuers
Iki pata mchambuzzi, on God, goat, I chew numbers
With intention za ku tour
Jua ya next summer iki shatua t-shirt vua
Na kitambi nachambua summer bunny
Ana figure ya Ashanti akiwa tour
Sauti nyororo inafanya atake kufanya dhambi nami
Yeah ni James son with a lennox reach
Upper cut ya Tyson, positivity pushing ya Mysonne
Flipped a cry song nika blow up ka lypon
Doubters bye, gone ki Saigon already I con
Tinue to mesmerise na zile me umemorise
Niki set sight on syllables ndio mi umonitize
T shirt na jeans bila ties, na vutia petite au thunder thighs
Mtoto mzuri ame simama bila kusita sita
Pea mungua sifa, kutufikisha this far
2022 ka si ya Tapi haitambi whoever you might be
Na pull up ni pop off wherever a mic be
Alafu ni step off one word Asanti
Yeah ni James son with a Lennox reach
Upper cut ya Tyson, positivity pushing ya Mysonne
Flipped a cry song nika blow up ka lypon
Doubters bye, gone ki Saigon
Yeah ni James son with a Lennox reach
Upper cut ya Tyson, positivity pushing ya Mysonne
Flipped a cry song nika blow up ka lypon
Doubters bye, gone ki Saigon already I con
Vince them sijali ka anikanji kwa sasa
Na kaza kamba ni piganie hii taji
Nitimize mahitaji Ka de gea g
Natumie kipaji kupata hii ganji
Hata njumu ikitepa, nilichorea ketepa tri fecta hakuna ku zezeta
Mistari niki papasa ka Jones kwa flip ya do for love
Vitu uwa different kwa ground uu boy aki step kwa mic angalia saa boy
Na speak for us ni kisema hatutaki Scarde a change
Naweza continue lakini naskia nikaa ina dim
Ni ku pay homage ukibishana we niiyo four legged creature slim alitaja
Aaaa



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah - On My Case
Album On My Case
date of release
15-12-2021




Attention! Feel free to leave feedback.