P-Tah feat. Sir Bwoy - Serereka Lyrics

Lyrics Serereka - P-Tah feat. Sir Bwoy



Ares sawazisha ingine mwoto
Tuende west turudi east ndio waingie dance floor
Ransom got that souce innit
Covid ishakacha CURFEW imeisha
Maji ya burudisha cheki vile watoto wana jirusha
Toto bin toto bin toto juu ya chakacha
Bayano I know ule a yellow ndio Tes alimention
Kaumbika, cheki creation haa
Radar yake ka detention
No tension, pesa pension iko
Bila hesitation, Oya, waiter, rushia ye sminofff mbili
Kuku choma, beste yake whatever anataka
Kazi ku double the effort
Confidence ni ya ayanu mathenge,
Maan nishaomoka long time tangu sosa
Haiya ati Mzinga iyo ni minor
Celebrate creation na crati ya shampazz
Tuna party vi major
Ku timbua nika tunacheza cheza soca
Muambie tukutane dance floor ma salsa
Na usi drop jaw
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tunaserereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tunaserereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Vile una step una maliza mbaya
Your dressing imekushika fiti
Ubo lako, sura yako tiki, bahati yangu iko fiti
Looking back your future iko fiti
Impression ya kwanza, ku blow it blunder
Jina ni tapi, I would like to know you mama we
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tuna serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tuna serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Siwezi kosa uwezo kukutunza kazi hawezi kosa
Nita rusha tarimbo au wimbo ndio nta osa
Big up Osa
Beer mbili uptown ma shish kiasi
Uber chap chap, first night smashes zii
Tungie K1 sunday drunch juu ya ma trench town
Blackbean wanacome through, na chakula true tu sana
Monday vanish tu vasha after mbogi ya subaru ime leave town
Calender clear wiki mbili hivi
Na u chape tims za brown juu kwa juu
Mtu ka we ndio nilikua na need
Goods deeds zi plant seed tabasamu mama we
Someone on my right na sahii na do alright
But na hope uta stay in sight vitu zikienda rong
But hiyo ni choice yako, for now nitakupa my best
Hii si test just real loving on offer at the first sight
It's a feeling na siwesi fight it
Na love is blind usimind niki tumia braille
Ponda maisha na mi tuchafue salary
Pesa ina come help me blow it, mama we
Help me blow it mama we
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tuna serereka serereka serereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tunaserereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo
Leo tunaserereka
Kujibamba mami ndio mapango wa leo



Writer(s): Peter Mutisya


P-Tah feat. Sir Bwoy - League of My Own 3
Album League of My Own 3
date of release
25-08-2021



Attention! Feel free to leave feedback.