Paul Clement - Yaweh Lyrics

Lyrics Yaweh - Paul Clement



Eeeh
Jehovah eeh, Jehovah eeh
Nakuamini, nakuamini
Jehovah eeh, Jehovah eeh
Nakuamini, nakuamini
Say Jehovah eeh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
(Nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
Nakuamini (nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh eh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
Ooh (nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
(Nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh eh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
Nakuamini (nakuamini) nakuamini (nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh) Jehovah eeh (Jehovah eeh)
Jehovah eeh (nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh eh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
(Nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh) Jehovah eeh (Jehovah eeh)
Ooh, (nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh eh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana waweza (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana waokoa (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wabariki (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wainua (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
Nakuamini (nakuamini) nakuamini (nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh Jehovah eeh)
Nakuamini (nakuamini) nakuamini (nakuamini)
Jehovah eeh (Jehovah eeh, Jehovah eeh)
Nakuamini (nakuamini, nakuamini)
Bwana waweza (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wabariki (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wainua (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wasamehe (ndio ndio, ndio ndio)
(Nakuamini, nakuamini)
Bwana wabariki (ndio ndio, ndio ndio)
Ooh, aah (nakuamini, nakuamini)
Nakuamini peke yako
(Nakuamini peke yako, kama lilivyo) jina lako (jina lako)
Unaitwa mwaminifu (unaitwa mwaninifu)
Mungu mwenye nguvu (Mungu mwenye nguvu) Mtakatifu (Mtakatifu)
Waliheshimu neno lako (waliheshimu neno lako)
Kuliko jina lako (kuliko jina lako) eh, maana (we si muongo)
Nakuamini peke yako (nakuamini peke yako, kama lilivyo jina lako)
We eh unaitwa Bwana (unaitwa
Mwaminifu, Mungu mwenye nguvu) eh (Mtakatifu)
Waliheshimu neno lako (waliheshimu neno lako)
Kuliko jina lako (kuliko jina lako)
Maana we si muongo (maana we si muongo)
Nakuamini peke yako (nakuamini peke yako) ooh (kama lilivyo) jina lako
(Jina lako) we eh unaitwa (unaitwa
Mwaminifu) oh Bwana (Mungu mwenye nguvu)
Lalalala (Mtakatifu) ooh (waliheshimu neno lako)
Kuliko jina lako (kuliko jina lako) eh eeh (maana we si muongo)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh, eh eh eh mimi ninakuamini, eh eh eh)
Say eeh Yaweh
(Eeh Yaweh, eh eh eh mimi ninakuamini (mimi ninakuamini eh eh eh)
Eeh Yaweh
(Eeh Yaweh, eh eh eh mimi ninakuamini (mimi ninakuamini eh eh eh)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh) lalalala (eh eh eh, mimi ninakuamini eh eh eh)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh) olololo (eh eh eh, mimi ninakuamini eh eh eh)
Eeh Yaweh
(Eeh Yaweh) olololo (eh eh eh, mimi ninakuamini eh eh eh)
Sema mwalimu
(Eeh Yaweh, eh eh eh mimi ninakuamini, eh eh eh)
We mwaminifu
(Eeh Yaweh) olololo mimi ninakuamini
(Mimi ninakuamini) lololo (eh eh eh)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh) sema eh, mimi ninakuamini (mimi ninakuamini eh eh eh)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh) olololo (eh eh eh) mimi ninakuamini
(Mimi ninakuamini) lalalal (eh eh eh)
Sema eeh Yaweh
(Eeh Yaweh eh eh eh, mimi ninakuamini eh eh eh)
Hebu inua mikono yako juu namna hii say one, two
Eeh
Ghii
Twende chini
Ooh, mikono juu
Ghii
Ooh, Halelluya Halelluya, mmmh
Tumshangilie Bwana, kwa nguvu zaidi
Halelluya, Halelluya
Tunakushukuru Bwana, kwakua wewe ni mwema
Asante kwa upendo wako, asante kwa ukuu wako
Asante kwa fadhili zako



Writer(s): Paul Clement


Paul Clement - Usiyeshindwa
Album Usiyeshindwa
date of release
31-05-2020



Attention! Feel free to leave feedback.