Professor Jay - Bibi na Babu Lyrics

Lyrics Bibi na Babu - Professor Jay



Salam babu na bibi salam bibi na babu
Ni sisi wajukuu tunafanya mpate tabu
Maisha ya vijana wa leo ya ajabu ajabu
Wengi ni wazinzi na wengi hawana adabu
Mwenendo wa vijana wa leo wantia ghadhabu
Jay wa miltulinga a.k.a mti mkavu
Hekima ya wazee kamwe msiichezee
Tuzidishe sala tuwaombee (heeyy)
Natizama andiko la kweli kwenye vitabu
Wazee wanaishi miaka mingi ya thawabu
Nasi tunasubiri siku moja wafunge hesabu
Wangapi tutakwepa kifungo cha hiyo adhabu
Vifo, ngono, mauaji ulabu
Bado najiuliza ni nani mwenye jawabu
Njia bado ni panda, Na shetani katanda
Utapata jibu ukiwa ndani ya sanda (mamaa)




Professor Jay - Machozi Jasho Na Damu




Attention! Feel free to leave feedback.