Professor Jay - Mzee Lyrics

Lyrics Mzee - Professor Jay



Niliacha kazi nifanye mziki wakatabiri nitalost
Wengine wakanishawishi tuloge kuondoa mikosi
Nakomaa na muziki ingawa jua la utosi
Naamini wote tunapita na kamwe &%$$$%#$#
Jina langu lishatumika sana kutajirisha watu
Nyota ndogo walisha sema kuna watu na viatu
Bunduki haiuwi watu ila watu ndo wanaua watu
Dunia kama jalala tazama kwa jicho la tatu
Lisamfire watu wanahusna na wrong fire
Tunawaita watakatifu kumbe ndo mavampire
Yalisemwa mengi dem wangu alipo toroka
Ni fundisho tosha na changamoto kwao wanachoka
Nimepitia mengi mitihani ya kila namna
Ndo maana mi sishangai wakiniita mbeba lawama
Washikaji wengine feki kwenye dili hawakujui
Wanazani kila jogoo akiwika ni asubuhi
Liziki hamuwezi ziba labda mtaichelewesha tu
Mnakesha mnishushe mwenyezi ananipaisha
Kote mlikobana kidume ndo nayusua
Mnanijua nakamua roho za wanga zinaungua
Aah unaehukumu ni wewe mwenyezi mungu naomba unilinde
Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde... 2
Walishazusha zusha nimekufa et nimepata ajali
Washindwe na walegee mwenyezi niepushie mbali
Wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla
Wanataka kunizika mzima kabla sijafa
Waliosema nina ngoma wengine tushafukia
Wanaomba nife leo naamini watatangulia
Mama pumzika pema daima tunakulilia
Nabado wanachonga sana but men the king zia
Daima mtaji wangu ni nguvu zangu mwenyewe
Simwamini mtu kamwe najiamini mi mwenyewe
Hata nikinywa maji wanadai nakunywa pombe
Mi sijali i nope them wote wanalizombe
Bado tunapambana kibarua kisiote nyasi
Daima sitawadhuru wale wote walioniasi
Nikikaa kimya msidhani sijasikia sio
Bahati sio kengekewa ni sauti iliyobarikiwa hala!
Aah unaehukumu ni wewe mwenyezi mungu naomba unilinde
Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde... 2




Professor Jay - Machozi Jasho Na Damu




Attention! Feel free to leave feedback.