Lyrics Naogopa - Rayvanny
Mapenzi
chenga
Yakikupiga
unasurrender
Na
wengi
wakipendwa
Wanasahau
kuna
kutendwa
Mapenzi
chenga
Yakikupiga
unasurrender
Na
wengi
wakipendwa
Wanasahau
kuna
kutendwa
Wapi
mkandarasi
wa
moyo
Wa
ukuta
wa
mapenzi
unabomoka
Kinacho
ponza
wengi
ni
moyo
Wakikalia
kuti
kavu
wanadondoka
Wapi
mkandarasi
wa
moyo
Wa
ukuta
wa
mapenzi
unabomoka
Kinacho
ponza
wengi
ni
moyo
Wakikalia
kuti
kavu
wanadondoka
Unajisifu
umempata
Kumbe
alo
mwacha
anamfata
Anachotaka
anakipata
Wanasema
hawara
hana
talaka
Unajisifu
umempata
Kumbe
alo
mwacha
anamfata
Anachotaka
anakipata
Wanasema
hawara
hana
talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye
safari
ya
mapenzi
mi
nisiyasikee
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena
tochi
ya
mapenzi
isinimulike
Nimeyaona
bayana
Ndo
maana
sitaki
kumbuka
ya
jana
Alivyonidanganya
Moyo
wangu
ukapiga
danadana
Nimeyaona
bayana
Ndo
maana
sitaki
kumbuka
ya
jana
Alivyonidanganya
moyo
wangu
ukapiga
danadana
Kwani
nini
za
mapendo
ila
yakaniteka
mapenzi
Tena
nilimweka
moyoni
ila
akaniona
mshenzi
Unaweza
sema
pesa
ndiyo
breki
ila
mapenzi
hayasomeki
Umemteka
kwa
mali
na
cheki
Kumbe
vyombo
anakula
muuza
magazeti
Unayemwita
bebi
anaweza
bebwa
kama
begi
Mapenzi
yanabadilika
unaweza
ukamwita
shemeji
Unayemwita
bebi
anaweza
akabebwa
kama
begi
Mapenzi
yanabadilika
unaweza
ukamwita
shemeji
Unajisifu
umempata
Kumbe
alo
mwacha
anamfata
Anachotaka
anakipata
Wanasema
hawara
hana
talaka
Unajisifu
umempata
Kumbe
alo
mwacha
anamfata
Anachotaka
anakipata
Wanasema
hawara
hana
talaka
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Kwenye
safari
ya
mapenzi
mi
nisihusike
Naogopa(naogopa)
Naogopa(naogopa)
Naogopaaah
Tena
tochi
ya
mapenzi
isinimulike
Attention! Feel free to leave feedback.