Rich Mavoko - Kaweka Lyrics

Lyrics Kaweka - Rich Mavoko



Niwekeze kwako
Upendo nikope
Nilegeze macho
Nilewe hadi kope
Mwenzio, mwenzio
Nakitazama kioo
Beiby no, beiby no
Usitamani lishoo
I say(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo na mizuka(Kaweka)
I say mama yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka kwa ukuta(Kaweka)
Nipeleke hadi boda
Ikinasia irudishe Lugoba
Na maungo yamenoga
Iko jasho kama mama unakoga
Oya change siba
Change siba
Nimalize kabisa mazima
Bora nipe ...nipe...
Hadi bashini leo navichuma
Ya solo
Nipapase kama solo
Kwenye chochoro
Iweke, tomorrow
I say(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo na mizuka(Kaweka)
I say mama yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka kwa ukuta(Kaweka)
Irudishe kabisa kwa gamba
Iweke kimyani
Ifikishe, itoe na maganda
Uipe maruani
Eeh mzee mkumbatie, mng'ate
Naumkumbatie datty gote
Namkamatie, mkamate
Mkumbatie kotekote
Mbali oooh sheriee
Gari limezima kona
Hadithi uwongo na kweli
Ili niweze kupona
Asa nikokote mpaka Chamange
Chutama nione masinema
Na, nakula kuku na mtama
Uno la paka chongo la kutekenya
Yeah(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo na mizuka(Kaweka)
I say mama yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka kwa ukuta(Kaweka)



Writer(s): rich mavoko


Rich Mavoko - Kaweka
Album Kaweka
date of release
03-07-2019

1 Kaweka




Attention! Feel free to leave feedback.