Salim - Upendo Wa Ajabu Lyrics

Lyrics Upendo Wa Ajabu - Salim



Holy Battalion crew,
Apostle Bernardoz alongside Pastor Salim - Klasta,
Nabii and Marira, esh! You better know, Messaiah, ushasema.ama vipi?
- Marira
Ni Upendo wa Ajabu siwezi kusimulia
Pendo la Ajabu, siwezi kuelezea,
Pendo la Ajabu siwezi kufananisha,
Pendo la Ajabu siwezi kulinganisha
One.
Upendo wake Mungu Baba ni wa Ajabu
Ingawa nimepita shida nyingi na taabu,
Oh Baba yangu tafadhali sikiliza, yale umetenda siwezi kueleza,
Marafiki umenipa wanaonijali, wazazi pia nao wanaonipenda,
Iwe jua ama mvua, nishaamua, ni wapi ningekuwa bila upendo wako Baba,
Jambo moja hili, Jambo freshi jo, Bwana Yesu alikufa kutuokoa so,
Mwenye dhambi jihadhari utadedi jo,
Mshahara wake dhambi ni mauti, weeee!
Life bila God ni ka kukosa usingizi
Upendo wake mob kanitoa kwenye giza,
Sasa nina furaha sina hofu hata kamwe
Yesu Kristo ndiye njia ya ukweli.
Two.
Why let your big sun shine on me Lord,
And send your begotten son to die on the cross,
You've been my Ebenezer each and every day,
You let your Holy Ghost fire come down and
Fall, Like the day of Pentecost, Lord I recall, your
Your greatest love Jesus come down upon me,
Where would I be Lord without your Love,
Come down my Father and give me some more,
Put philosophies, add your heresies,
Jesus never cease to be the one who is supreme,
Hey! What a pity when you are wallowing
In sin, Hell fire burn and you cant resist,
Oh what a love, that Jesus gave Himself for me,
Oh what a sigh,
Of relief when He broke my chains, Today I sing, forever
Nita- praise His name, He is the same forever He reigns AMEN.
Three
Jiweke kwa yake nafasi waza kwa dakika,
Wahesabu masaa wasee wacome kudai yako life Ingekuwa ni mimi
Umetishia kuishia na yangu maisha,
Pengine ninge jiami na silaha tayari kujilinda,
Lakini yeye kwa upendo alichukuwa mijeledi arobaini ondoa moja
Thelathini na tisa alistahimili pale msalabani
Ili kukutoa kwenye giza,
Imagine hizo misumari hizo miba jaribu kufeel yake pain
Akitry kuinhale hakuna strength,
Akicheki wasee wakicheza kamari na yake mavasi
Lakini kwa upendo maisha yake aliyatoa kama sadaka, Na bado husadiki
Nini wangojea kupokea lake penzi
Interlude*




Salim - Tu Du Niwe
Album Tu Du Niwe
date of release
16-11-2015




Attention! Feel free to leave feedback.