Sandra Mbuyi - Asifiwe Lyrics

Lyrics Asifiwe - Sandra Mbuyi



Niki angalia maishani mwangu ma vita ambao unanipiganiaka,
Sijuake mwanzo ao mwisho
Mina shitukaka tu ulisha shinda
Naku penda sana yesu wa uwezo
Lakini wewe mungu wa uruma unanijalia neema yako
Wewe ni muumbaji unaishi milele
Wewe ni maji matulivu jangwani
Wewe ni kimbilio letu wakati wa shida na msaada ulio karibu
Mina kwimbiya usifiwe eh.
Refre
Asifiwe bwana asifiwe milele na milele bwana asifiwe eh
Asifiwe asifiwe asifiwe Bwana asifiwe eh.
Wewe mungu wa majabu yahweh msingi ya maisha yangu.
Kimbilio langu ni wewe Bwana
Wewe mungu wa mapendo yahweh we ni akiba ya mema
Wewe ni mwanga wa maisha
Langu baba ah baba
Asifiwe bwana
Baba asifiwe baba asifiwe eeh
Milele na milele
Leo
Naonekana mutu muzima sina chochote nitakutoleya bwana
Asifiwe eheh
Asifiwe bwana
Kwa yote unanitendeya maishani mwangu uh.
Kwa yote umetimiza maishani mwangu uhuuuu
Bwana ubarikiwe bwana usifiwe
Utukuzwe uweshimiwa uinuliwe
Bababa ahh baba
Kaskazini magaribi mashariki na kusini ni wewe tu
Baba ah baba
Asifiwe bwana
Asifiwe bwana wa majeshi
Baba ah baba
Heeeheheiiee
Ntakushukuru namunagani baba
Uwinuliwe namunagani baba
Bwana bwana bwana wa majeshi
Bwana wa mapendo
Asifiwe asifiwe
Asifiwe baba
Ntakushukuru namunagani
Baba baba baba baba baba
Milele na milele
Oh oh
Bwana wa majeshi
Bwana wa mapendo
Mungu wa baraka
Mungu wa milele ehe
Asifiwe
Bwana asifiwe
We tumaini langu ushindi langu baba
Nakuabudu nakuabudu bwana wangu baba
Jina lako kubwa na takatifu lina niponya baba ah baba
Asifiwe asifiwe
Asifiwe asifiwe ehehe baba
Bwana asifiwe




Sandra Mbuyi - Eyano
Album Eyano
date of release
24-11-2018




Attention! Feel free to leave feedback.