Lyrics Still the One - Sauti Sol
Another
one
for
the
ladies,
sauti
sol
Yeah,
yeah
baby,
touch
me
baby
Tulipokuwa
primo
Ulisema
umeninoki
Nikakuseti
kwa
odijo
Tukaingia
seco
Adole
zikanipanda
Nikaku
kiss
kwenye
bus
stop,
yeah
Tukaingia
campo
Nikasema
nakupenda
Ukasema
unasoma
Na
bado
na
kuona
daily
Looking
fly
nakufeel
even
more
ooh
I
wonder
what
I'm
gonna
do
If
you
ever
walk
out
the
door...
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Ukiwa
mbali
nakonda
sana
Nikikuona
nina
pagawa
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Love
is
a
strong
thing,
strong
thing,
strong
thing
My
love
is
a
strong
thing,
strong
thing,
strong
thing
Tukamaliza
campo
Nikaanza
kuimba
Ukapata
ka
jobo
(downtown)
Tukapatana
tao
You
were
looking
very
sexy
Tukawasha
ka
vodo
Ukawa
tipsy
kidogo
Ukasema
unanipenda
Na
huwezi
kuniacha
Tangu
zamani
ulinipenda
Ila
hukuweza
sema
Ukasema
unanipenda
Na
huwezi
kuniacha
Tangu
zamani
ulinipenda
Ila
hukuweza
sema
Na
bado
nakauona
daily
Looking
fly
nakufeel
even
more
I
wonder
what
I'm
gonna
do
If
you
ever
walk
out
the
door
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Ukiwa
mbali
nakonda
sana
Nikikuona
nina
pagawa
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Love
is
a
strong
thing,
strong
thing,
strong
thing
My
love
is
a
strong
thing,
strong
thing,
strong
thing
Nikaimba
lazizi
(lazizi
wangu
we)
Nikaimbia
polisi
Na
nikaimba
soma
soma
soma,
(oh
yeah)
Na
nikasema
popote
ulipo,
mi
nakuwaza
mama
I'm
a
I'm
a
I'm
a
gentleman
I'm
a
I'm
a
I'm
a
gentleman
Na
bado
nakuona
daily
Looking
fly
na
ku
feel
even
more
I
wonder
what
I'm
gonna
do
If
you
ever
walk
out
the
door
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Ukiwa
mbali
nakonda
sana
Nikikuona
nina
pagawa
Bado
we
ni
yule
yule
Bado
nakufeel
baby
vile
vile
Na
sasa
uko
fifty,
bado
unaka
fiti
Yeah
you
can
gerrit

Attention! Feel free to leave feedback.