Lyrics Promise - Shaa
Nimepewa
moyo
wa
kupatana
na
wewe
Nimepewa
huruma
najikuta
na
share
na
wengi
Ulikosea
nikakusamehe
ukarudia
vilevile
Oh
oh
oh
Ukarudia
vilevile
Ukanipa
jina
mama
huruma
Baada
ya
kusonga
mbele
narudi
nyuma
Naah
wala
sikushangai
nimejifunza
na
we
ndio
mfano
hai
Kilichoniumiza
ni
promise
za
uongo
Naah
kumbe
ulinilaghai
na
kunifanya
niamini
na
kufurahi
Kumbe
ni
maneno
tu
Promise
za
uongo
Kosa
gani
nililofanya
mpaka
ugomvi
unalazimisha
Kila
siku
usiku
na
mchana
uishi
kusema
Nieleze
unataka
niweje
niwe
na
kitu
gani
Au
nini
kwako
nifanye
niwe
na
thamaniiiii
uuuuh
Nieleze
nini
nifanye
Naah
wala
sikushangai
nimejifunza
na
we
ndio
mfano
hai
Kilichoniumiza
ni
promise
za
uongo
Naah
kumbe
ulinilaghai
na
kunifanya
niamini
na
kufurahi
Kumbe
ni
maneno
tu
Promise
za
uongo
Mwenzako
nimepewa
moyo
wa
kuridhika
na
wewe
Kwahiyo
naomba
nielewe
nitaenda
utakavyo
wewe
Ukinipiga
it's
okey
Ukinitukana
vilevile
Nakusamehe
nitakusamehe
nishakusamehe
Nitavumilia
naamini
yatapita
Nitakuombea
mola
uweze
jirekebisha
Naah
wala
sikushangai
nimejifunza
na
we
ndio
mfano
hai
Kilichoniumiza
ni
promise
za
uongo
Naah
kumbe
ulinilaghai
na
kunifanya
niamini
na
kufurahi
Kumbe
ni
we
ndio
promise
za
uongo
Naah
wala
sikushangai
nimejifunza
na
we
ndio
mfano
hai
Kilichoniumiza
ni
promise
za
uongo
Naah
nimekosa
amani
amani
imetoweka
nyumbani
Kilichoniumiza
ni
Promise
za
uongo
Promise
za
uongo
promise
Promise
za
uongo
promise
Promise
promise
Ahadi
(promise)
za
uongo
Ahadi
Ahadi
Promise
Promise...
Attention! Feel free to leave feedback.