Lyrics bestie - Sketch The Artist
(Managemente
Synergy)
Heyy
bestieeee
Ananiitanga
Bestie
anadhani
mi
ni
wao
Anataka
nimpende
but
nishapata
wangu
Akitaka
nimskize,
anaweza
tuma
thao
Therapy
si
bure,
kadepo
angalau
Ananiitanga
bestie,
anadhani
mi
ni
wao
Akitaka
nimepende
na
nisiwahi
sahau
Aninispie
kisembe,
kuku
na
pilau
Nitareconsider
nikipunguza
ubao
Hana
haga
(hana
haga
bana)
Lakini
yenye
iko
inatosha,
kuwateka
hao
maninja
wa
Gomorrah
Wanadai
kumbomoa,
kama
Avatar,
Legend
of
Korra
Maamatures
fulani
hudhani
wako
important
(whooo!)
Hold
up,
ngoja
hapo
naweka
comma
Angekuwa
ananyesha
maybe
ningeweka
period
Imperial,
hiyo
ni
kitu
ingine
trivial
Msinitest
hamjui
buda
naweza
kuwa
serial
(walahi)
Nipite
na
nyinyi
wote
wenye
mnadai
kumfanya
afeel
worthless
(Nyinyi
watu
nyinyi)
Hata
i'm
this
close
kumfanya
aokoke,
tuone
(amen)
Ndio
mse
amreach
itabidi
amenipitia,
connect
Ananiitanga
Bestie
anadhani
mi
ni
wao
Anataka
nimpende
but
nishapata
wangu
Akitaka
nimskize,
anaweza
tuma
thao
Therapy
si
bure,
kadepo
angalau
Ananiitanga
bestie,
anadhani
mi
ni
wao
Akitaka
nimepende
na
nisiwahi
sahau
Aninispie
kisembe,
kuku
na
pilau
Nitareconsider
nikipunguza
ubao
Kwanza
tulia,
wacha
niwaibie
siri
zake
(tulia,
wacha
niwashow)
Kama
hauna
gari
buda
we
si
type
yake
Kama
haujapack
10
inch,
we
si
size
yake
Na
daddy
issues
ziko
hapo,
sidhani
unaweza
manage
At
ease,
alert,
si
food
pekeyake
anaweza
spin
Attach,
CV
yako
hapo
usiende
ukiwa
beginner
Na
kama
unadai
kumbeba
tu
ufala
Jua
utakula
teke
kama
ball
kwa
mguu
ya
Salah
Awwww
bestie,
are
you
crying?
Oh
my
God,
you
said
you
love
me
Ahhhhh!
Ananiitanga
Bestie
anadhani
mi
ni
wao
Anataka
nimpende
but
nishapata
wangu
Akitaka
nimskize,
anaweza
tuma
thao
Therapy
si
bure,
kadepo
angalau
Ananiitanga
bestie,
anadhani
mi
ni
wao
Akitaka
nimepende
na
nisiwahi
sahau
Aninispie
kisembe,
kuku
na
pilau
Nitareconsider
nikipunguza
ubao
Oh
my
God,
aaah,
Skeeeetch
Unafanya
nikuwe
emotional
Yeah,
mimi
nitakuwa
nakuambia
hizi
vitu
hata
kama
hauniambii
Heri
nikuwe
nakutumia
voice
note
nakuambia
"Hi
Sketch,
nakupenda."

Attention! Feel free to leave feedback.